Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe DP worid walikuwepo tangu zamani wanasimamia bandari?Watanzania tumeshindwa, tunaposhindwa ni lazima tuwawachie wanaoweza.
Unamuona Kagame ni mjinga kuwawachia DP World?
Waulize madereva waliokuwa wanaenda Kigali kabla ya bandari kushikwa na DP World na sasa, wakueleze tofauti yake.
Tupe mrejeshoWatanzania tumeshindwa, tunaposhindwa ni lazima tuwawachie wanaoweza.
Unamuona Kagame ni mjinga kuwawachia DP World?
Waulize madereva waliokuwa wanaenda Kigali kabla ya bandari kushikwa na DP World na sasa, wakueleze tofauti yake.
Kwanini tumeshindwaWatanzania tumeshindwa, tunaposhindwa ni lazima tuwawachie wanaoweza.
Unamuona Kagame ni mjinga kuwawachia DP World?
Waulize madereva waliokuwa wanaenda Kigali kabla ya bandari kushikwa na DP World na sasa, wakueleze tofauti yake.
Kuna wanaohoji kwa nia njema yakutaka kujua tutafaidikaje na huo mkataba na ni sahihi,ila kuna wale wanaopinga bila ya kujua chochote..tatizo ndio linaanzia hapo..Kwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali [emoji1484]
Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuwia maendeleo.
View attachment 2656975
Hilo wasema wewe [emoji4]Hahaha mtabadili Sana gear angani Ila muda utafika mtakubali tu Samia anaupiga mwingi!!
Duh, wewe itakuwa bandari unaisoma kwenye mitandao tu, huijuwi kipato hake.
Linapokuja suala la Waarabu humwambii kitu bibi huyuWewe ni mjinga unaetoa hoja kwa mitazamo ya kidini huwezi kuwa na maarfa kwasababu umefungwa na aya za kijinga
Linapokuja suala la Waarabu humwambii kitu bibi huyu
Tatizo hamuwapi Raia elimu ya kutosha kuhusu Faida na manufaa yatakayopatikana nanikwamda gani huo Mkataba utadum. Mnalaumu tu kuwa kuna watu wanapinga, mkae mkijuwa wanaowapinga wanahoja za maana namnatakiwa mzijibu, pia toeni Elimu ili hata wenye akili ndogo wawaelewe.Kwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali [emoji1484]
Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuwia maendeleo.
View attachment 2656975
HahaWewe unajulikana kuwa MFIA DINI YA KIISLAMU. Hao wajomba zako Pori hata wangetangaza kununua Watumwa ungewakubalia kwakuwa kichwa chako kiko Brainwashed na Mlengo wa DINI YA KIISLAM kwa hiyo katika hili la DP WORLD huna hoja yenye mantiki bali umetanguliza Udini mbele.
Kwa kifupi hao WAARABU HAWAFAI ni matapeli sana kinachopaswa kufanywa na WATANGANYIKA ENDAPO DEAL LIKIENDELEA ni kuwaondoa kwa Nguvu na Masalia yao ukiwemo wewe. Time will tell Tanganyika siyo Shamba la Bibi kama ni Ufukwe wa Kujenga Gati la Bandari kawapeni huko Mchambawima. Over
Walioshindwa ni CCM tena team PWANIWatanzania tumeshindwa, tunaposhindwa ni lazima tuwawachie wanaoweza.
Unamuona Kagame ni mjinga kuwawachia DP World?
Waulize madereva waliokuwa wanaenda Kigali kabla ya bandari kushikwa na DP World na sasa, wakueleze tofauti yake.
Hiyo buluu ikonomi akaikuze ZanzibarDp World ni katika mkakati wa kukuza Blue Economy.
Mbona hiyo elimu wamepewa na hoja za wapingaji zimejibiwa au unataka elimu wapeweje?Tatizo hamuwapi Raia elimu ya kutosha kuhusu Faida na manufaa yatakayopatikana nanikwamda gani huo Mkataba utadum. Mnalaumu tu kuwa kuna watu wanapinga, mkae mkijuwa wanaowapinga wanahoja za maana namnatakiwa mzijibu, pia toeni Elimu ili hata wenye akili ndogo wawaelewe.
Kote kote mpaka ziwani, leo anatembrlea bandari ya Mwanza.Hiyo buluu ikonomi akaikuze Zanzibar
Tatizo ni mkataba ulivyo ni general sana sio specific ni hatar sana inakuwa bandar ya ukoo kuna familia watakula pale had kifo chao na watoto watarithiKwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali [emoji1484]
Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuwia maendeleo.
View attachment 2656975