Fananisha bandari kavu zetu za Kwala na Isaka na hii ya DP World Kigali

Fananisha bandari kavu zetu za Kwala na Isaka na hii ya DP World Kigali

Kwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali 👇🏾

Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuia maendeleo.

View attachment 2656975
Sawa mfanano kimiundombinu haupo kabisa.. lakini na wewe tuambie Je mkataba wao na wetu inafanana ? Ndugu hoja ya wapigaji sio maendeleo.. Basi ni ulinzi wa rasilimali zetu... Tunaomba msijitoe kwenye hoja ya maana.... Onesha mkataba wao na wetu basi tutakuelewa😁😁
 
Mtu akisoma comments za mtoa mada..unaweza conclude tumewapa DP world bandari ili tufanye biashara na Rwanda...(Rwanda inachangia kiasi gani mapato ya bandari??)
 
Back
Top Bottom