Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Najua haujausoma huo mkataba.Huwa sigombani na wagonjwa😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua haujausoma huo mkataba.Huwa sigombani na wagonjwa😂
Heat yako inaleta shida sababu naona una jikalisha kalisha kizembe. Na huelewi unachoandika au unachosoma. Ndo shida ya kuolewa ukiwa na umri mdogo na mtu mwenye umri wa baba yakoHeat yangu usikupe shida, unafikiri mama'ko asigeingia kwenye heat ungezaliwa wewe? Tena inaonesha mama'ko anaingia heat kichizi ndiyo maana ukatoka chizi.
Hapo Kigali ndipo ambapo pia DRC Congo na Uganda watakapochukulia mizigo yao. Tz tunaenda kupoteza mapato ya bandari kwa asilimia kubwa sana.Kwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali 👇🏾
Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuwia maendeleo.
View attachment 2656975
kama una huo ubavu basi nenda ukawaondoe hao waarabu waliobarikiwa i know that huna ubavu huo, unadhani wakiikosa hiyo bandari watapungukiwa nini kwa mfano si utabaki na umasikini na chuki kwa waarabu with roho mbaya!!, hivi unafikiri wao wanategemea sana hiyo bandariyetu!! Utabakia kuwa masikini wanaofaidika na bandari hiyo ni wachache.Wewe unajulikana kuwa MFIA DINI YA KIISLAMU. Hao wajomba zako Pori hata wangetangaza kununua Watumwa ungewakubalia kwakuwa kichwa chako kiko Brainwashed na Mlengo wa DINI YA KIISLAM kwa hiyo katika hili la DP WORLD huna hoja yenye mantiki bali umetanguliza Udini mbele.
Kwa kifupi hao WAARABU HAWAFAI ni matapeli sana kinachopaswa kufanywa na WATANGANYIKA ENDAPO DEAL LIKIENDELEA ni kuwaondoa kwa Nguvu na Masalia yao ukiwemo wewe.
Time will tell Tanganyika siyo Shamba la Bibi kama ni Ufukwe wa Kujenga Gati la Bandari kawapeni huko Mchambawima. Over
😄😄😄😄Wewe unajulikana kuwa MFIA DINI YA KIISLAMU. Hao wajomba zako Pori hata wangetangaza kununua Watumwa ungewakubalia kwakuwa kichwa chako kiko Brainwashed na Mlengo wa DINI YA KIISLAM kwa hiyo katika hili la DP WORLD huna hoja yenye mantiki bali umetanguliza Udini mbele.
Kwa kifupi hao WAARABU HAWAFAI ni matapeli sana kinachopaswa kufanywa na WATANGANYIKA ENDAPO DEAL LIKIENDELEA ni kuwaondoa kwa Nguvu na Masalia yao ukiwemo wewe.
Time will tell Tanganyika siyo Shamba la Bibi kama ni Ufukwe wa Kujenga Gati la Bandari kawapeni huko Mchambawima. Over
Una akili ndogo sana,kama Kagame ameruhusu ushoga na sisi turuhusu kwa kua tu yy karuhusu.AlhamduliLlah, ulitaka niufie upagani? Unanchekesha.
Naona Kagame ni Muislam, au siyo?
Mkikosa hoja mnaanza viroja.
Twiga na tembo wetu maskini 😭
Kagame leo awe ndo role model,huu ni upungufu wa akili.Kuna mahali umeona nimesema tumfate Kagame? Au umelewa gongo?
Unaonesha ushoga umekuingia vizuri.
Kwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali 👇🏾
Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuwia maendeleo.
View attachment 2656975
Pumbavu kumbe ndo maana kagame alikuja aisee .Kwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali 👇🏾
Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuwia maendeleo.
View attachment 2656975
Pumbavu kumbe ndo maana kagame alikuja aisee .
Dots connected...
Kwisha ..
Watanzania tumeshindwa, tunaposhindwa ni lazima tuwawachie wanaoweza.
Unamuona Kagame ni mjinga kuwawachia DP World?
Waulize madereva waliokuwa wanaenda Kigali kabla ya bandari kushikwa na DP World na sasa, wakueleze tofauti yake.
...Na Wewe mara hii Umeishakua Wale Wale ?? [emoji57][emoji57]Hizo ndiyo ukisikia fikra za kimaskini.
Bandari yetu kwa kuendeshwa na DP World tumeshajihakikishia 100% ya mizigo ya Rwanda kukutua Dar.
Hakika.... unachokisema naona kina mwelekeo huo....Bandari yetu imeshauzwa Kwa kagame [emoji22][emoji22][emoji24][emoji24]
Mmeaminishwa ujinga.Hakika.... unachokisema naona kina mwelekeo huo....
Sio Kila king'aacho ni dhahabu.Ili wapate faida ya hiyo bandari ndio maana wanataka Dar port.Watakachofanya ni kupitisha container nje ya mfumo hadi Rwanda zinakuwa cleared kwenda Congo na Burundi vile vile kwa mizigo ya kwenda ng'amboKwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali 👇🏾
Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuwia maendeleo.
View attachment 2656975
Wstu hawafanyi biashara kijinga kama unavyofikiria, siyo kikampuni cha kwenye briefcase kile.Sio Kila king'aacho ni dhahabu.Ili wapate faida ya hiyo bandari ndio maana wanataka Dar port.Watakachofanya ni kupitisha container nje ya mfumo hadi Rwanda zinakuwa cleared kwenda Congo na Burundi vile vile kwa mizigo ya kwenda ng'ambo