Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena si ndiyo itakuwa vizuri kabisa, kazi yetu ya kumonitor mipaka mingi itapunguwa sana, kazi yetu kwa mizigo ya Rwanda na Congo itakuwa ku monitor bandarini na border moja tu, mizigo inapita bandarini tunachukuwa chetu.Tukishawapa bandari yetu tu mizigo ya Congo itakuwa cleared Rwanda.Bongo itapita na kuingia kihuni kwa kuwa wao ndio watacontrol system.Hiyo bandari ya Rwanda ipo hapo strategically.
Kwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali [emoji1484]
Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuwia maendeleo.
View attachment 2656975
Bandaru zetu Hatukuweza kuziendesha na kuzisimamia wenyewe ndiyo suala liliopo.Acha ujuha wewe bandari kavu ya kagame ni kitu gani ukilinganisha na bandari yetu? kwanza hata hiyo mizigo anapitishia Dar, isitoshe mzigo unaoenda Rwanda kupitia Dar ni kidogo sana ukilinganisha na nchi zote zinazo tumia bandari yetu. Eti bandari kavu Rwanda?!! Nchi yenyewe ukubwa wake kama Wilaya ya Sikonge!! Toa upuuzi wako!! Hana cha kujiringanisha na sisi. Chawa wa mwarabu wewe. DP world pelekeni Zanzibar. Mbwa nyie. Nawakikishia hiyo DP haitogusa Dar. Mnaleta mkataba wa kikoloni hapa.
...Kama wewe Ulivyoambukizwa Ujinga wa Kuona Kila hoja ni Udini Badala ya kujibu HOJA Kwa Hoja ! Mlienda Madrasati kujifunza Udini au Dini ???W
Wa shule za kusomea ujinga wapo wengi, wanaambukiza.
Hoja yako ni nzuri Hata Mimi nilituma post za mwanzo kabisa kuunga mkono uwekezaji wa DpW.Kwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali 👇🏾
Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuia maendeleo.
View attachment 2656975
Tukishawapa bandari yetu tu mizigo ya Congo itakuwa cleared Rwanda.Bongo itapita na kuingia kihuni kwa kuwa wao ndio watacontrol system.Hiyo bandari ya Rwanda ipo hapo strategically.
Una akili ndogo sana,kama Kagame ameruhusu ushoga na sisi turuhusu kwa kua tu yy karuhusu.
Kuna majitu hayajielewi. Nchi yetu imebarikiwa sana; sasa hawa wapumbavu wanataka kutuchezea. Watakiona cha moto.
Imebarikiwa sawaa, lakini nani wa kuvimeneji? Huyu huyu mbongo!! Tukiachiwa sisi kama sisi hatuwezi, Na Serikali tangu lini iliweza kuviendesha bila wawekezaji!! Ndio maana nchi haiendelei.
Halafu kisa mwarabu kupewa basi mtaongea sana, angelikua mzungu, mchina au mayahudi n.k mngethubutu kulalama!! Kisa waarabu ndio inaleta ikakasi!
Aleyommba gekke, mama anajua anachofanya, anaakili nyingi.
Hatutaki.Nenda kawaambie ndugu zako kuwa hatutaki.Ule siyo mkataba wa uendeshaji bandari, ule uliojadiliwa bungeni ni mkataba wa ushirikiano.
Subiri mkataba wa uendeshaji bandari utoke ndiyo tuanze kulalama.
Hatuwataki sasaUkweli ukidhihiri uongo hujitenga.
DP World wapo Dar wanafanya yao.
Umeusoma huo mkataba au umehadithiwa,unaisha lini na sisi tuna pata nini tukitaka kuuvunja nafasi hiyo ipo?Hizo ndiyo ukisikia fikra za kimaskini.
Bandari yetu kwa kuendeshwa na DP World tumeshajihakikishia 100% ya mizigo ya Rwanda kupitia Dar.
Hizi propaganda mbona mlikuwa hamjazisema kabla ya huu mkatabaKwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali 👇🏾
Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuia maendeleo.
View attachment 2656975
Kama ulisisikiliza mbarawa akielezea vipengere vya mkataba bungeni ndo utajua Mama na mbarawa wanauza Nchi. Pitia mkataba ndobuje hapa. Ni mkataba wa hovyo sana. Hatukatai wawekezaji lakini kwa mkataba wa aina gani? Huu ambao haujulikani mwisho na huwezi fanya lolote bandarini bila wao. Sasa Nchi si imekuwa yao hii. Bandari yetu tutaendesha wenyewe.
Nyerere alisha kufa lakini maneno yake yalibaki kwenye vichwa vietu,aliwahi sema hivi ukiona mtu yoyote au kumsikia kila mala akiwanasibisha wenzie na dini kwenye mijadala mtambue mtu huyo kuwa ni mdiniWewe unajulikana kuwa MFIA DINI YA KIISLAMU. Hao wajomba zako Pori hata wangetangaza kununua Watumwa ungewakubalia kwakuwa kichwa chako kiko Brainwashed na Mlengo wa DINI YA KIISLAM kwa hiyo katika hili la DP WORLD huna hoja yenye mantiki bali umetanguliza Udini mbele.
Kwa kifupi hao WAARABU HAWAFAI ni matapeli sana kinachopaswa kufanywa na WATANGANYIKA ENDAPO DEAL LIKIENDELEA ni kuwaondoa kwa Nguvu na Masalia yao ukiwemo wewe.
Time will tell Tanganyika siyo Shamba la Bibi kama ni Ufukwe wa Kujenga Gati la Bandari kawapeni huko Mchambawima. Over
Mikataba inafanana ? Hv lin umewai ona boss anapangiwa na mfanyakazi kuwa boss hana mamlaka yq kuvunja mkataba mpk mfanyakaz aamue , hv umeona wap mkataba wa hivyo ? dini ilishatuponza na sasa hv dini inaenda kutuponza tena , kama mnaiga igeni na mikataba yao sio hii mikataba yenu haielewekKwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali [emoji1484]
Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuia maendeleo.
View attachment 2656975
Waswahili hampend kufuatilia na ndio maana tulitawaliwa , unajua malalmiko ya watu ? Hakuna mtu anapinga waarabu ila namna makubaliano yalivyoegema upande wa waarabu , ebu rudi kafuatilie tena malalamiko ya watu. Kwanza unaujuwa muda wa mkataba ? Je unajua uhalali wetu wa kuvunja mkataba incase tusiporidhishwa na utendaj wao , hz dini ndo umekuwa mtego wa kumtawala mwafika na sasa tunaona , waarabu wapo kimya ila wavaa kobaz huku tunawatetea ila hawaji kwa ajili ya dini yetu hii wanakuja kimaslai kama wakolon walivyokujaHizo ndiyo ukisikia fikra za kimaskini.
Bandari yetu kwa kuendeshwa na DP World tumeshajihakikishia 100% ya mizigo ya Rwanda kupitia Dar.
Sijakuelewa point yako, nani kaongelea mikataba?Mikataba inafanana ? Hv lin umewai ona boss anapangiwa na mfanyakazi kuwa boss hana mamlaka yq kuvunja mkataba mpk mfanyakaz aamue , hv umeona wap mkataba wa hivyo ? dini ilishatuponza na sasa hv dini inaenda kutuponza tena , kama mnaiga igeni na mikataba yao sio hii mikataba yenu haielewek
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Mkataba upi unauongelea wewe? Sijauona mkataba wa utendaji, kama unao uweke hapa tuuone.Waswahili hampend kufuatilia na ndio maana tulitawaliwa , unajua malalmiko ya watu ? Hakuna mtu anapinga waarabu ila namna makubaliano yalivyoegema upande wa waarabu , ebu rudi kafuatilie tena malalamiko ya watu. Kwanza unaujuwa muda wa mkataba ? Je unajua uhalali wetu wa kuvunja mkataba incase tusiporidhishwa na utendaj wao , hz dini ndo umekuwa mtego wa kumtawala mwafika na sasa tunaona , waarabu wapo kimya ila wavaa kobaz huku tunawatetea ila hawaji kwa ajili ya dini yetu hii wanakuja kimaslai kama wakolon walivyokuja
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app