Fananisha Kikao cha Mawaziri cha Kenya na cha Tanzania, tuna cha kujifunza

Watumie maji ya mtungi sio?
 
mbona mawaziri wetu wap wengi sana yaani safu nne ndefu mbili kila upande..kwani katiba yetu inasemaje kuhusu idadi/wadhifa wa wajumbe wa kuhudhuria kikao cha baraza maana nikifikiria idadi ya wazara zilizopo nikilinganisha na hao waheshimiwa naona wamezidi.!
 
This is nick-picking. Hakuna tofauti yeyote.
 

Manaibu na makatibu if needed.
 
Wa TZ mlivyobanana kwa hiyo room,hivi hawawezi pata TB
 
Manaibu na makatibu if needed.
duuh! sioni kama kuna ulazima wote hao eti kila wizara aje waziri,naibu na katibu mkuu ni matumizi mabaya ya posho angalia hio picha ya Kenya ni mawaziri tu ila sie hatuna hata aibu.. mbona mawaziri tu pekee wangetosha kuwawakilisha hao wenzao naibu na katibu
 

Naona hujazingatia neno "If necessary". Hata Kenya kuna vikao wanakaa wote haya ni mambo ya kawaida kila nchi na hata TZ kuna vikao hawakai wote na kuna vikao hadi Rais wa Zenji anakuwepo.

Na sio lazima uige kila kitu anachofanya mwenzako, TZ ni sovereign state inayojiamulia jinsi ya kuendesha mambo yake. Kuna mambo mengi sana ya kukosa ya msingi ila baraza la mawiri is a low hanging fruit.
 
ukicheki la Kenya dah hadi huruma aise, kuanzia moenekano bana ni ukabila tupu, mawaziri wamejawa hofu, wasiwasi na hofu ya kubanduliwa kikabila at any given time maskini ya Mungu..

Ni wanyonge wasioaminiana kabisa kwa chuki, uhasama, uadui na wivu wa kikabila na ukanda, kila moja kichwani akinungunika mbona waluya wengi kuliko wakalenjini n.k.

Na kwasabb ya kutokuaminiana, hakuna cha korosho wala peremende mezani, ni mwendo wa kunuka mdomo mwanzo mwisho na maji madogo tu, aisee πŸ’

Check la Tanzania sasa,
unaona kabisa there is hope and prosperous future plans kwaajili ya waTanzania inaendelea. Mawaziri wamekaa kama familia moja, wanapendana na kuaminiana, wanashare mawazo hadi korosho mezani na peremende kwa amani na uhakika kabisaa dah..πŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
 
Ita wenzio kina Lucas Mwashambwa na Mganga wa Jadi Tlaatlaah mje muone aibu kwa pamoja.
La Kenya limepambwa na sura ya ukabila na ukanda, na ukiwatazama vizuri mawaziri ni kama vile hawana uhakika wala tumaini la kuwepo ofisini kesho. Hawana nuru, hawana amani dah πŸ’

La Tanzania.
kwanza lina nuru, Lakini pia unaona kabisa umoja wa mawaziri wenye amani na kuaminiana. Korosho na peremende wanashea n.k

Kenya hawashare vitu kama hivyo kwasabb unaweza wekewa cocaine au sumu.Hakuna wa kumuamini mwingine.πŸ’
 
Ukiangalia hao watanzania unaweza fikiri wako serious..... makaratasi yamesambaa tu mezani hata kuyasoma hawajasoma wala kujua kilichomo ndani yake.
 
Africa is a lost continent.
Tuendelee kusubiri kiama au kiama tunaishi nacho.
 
Huna akili wewe hoja yako haina kichwa wala miguu! Hivyo vishkwambi ambavyo huku Tz tumewapa walimu ndo vinakuchanganya???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…