Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 1,479
- 3,229
Korosho ni chakula sio?Sasa izo sahani za vyakula hapo mezani zinaganua nn tena mwisho wachafue documents tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Korosho ni chakula sio?Sasa izo sahani za vyakula hapo mezani zinaganua nn tena mwisho wachafue documents tu
Ita wenzio kina Lucas Mwashambwa na Mganga wa Jadi Tlaatlaah mje muone aibu kwa pamoja.Uzi kaandika mwingine lakini aibu naona mimi namna bongo za baadhi ya watu zinavyoshindwa kuchambua na kuchanganua mambo makubwa. kweli kikao kinaanzishiwa uzi, nchi yangu inahitaji uponyaji kwa baadhi ya watu
Watumie maji ya mtungi sio?Maji ya kunywa ya chupa za Plastic yameisha pitwa na wakati kwa levo za viongozi wa juu, na hapo kuna Chawa huwa wanasema mama ana advocate mazingira Huweiz ukawa unapigani mazingira huku Bado unatumia maji ya chupa za plastic zinazo chafua mazingira.
mbona mawaziri wetu wap wengi sana yaani safu nne ndefu mbili kila upande..kwani katiba yetu inasemaje kuhusu idadi/wadhifa wa wajumbe wa kuhudhuria kikao cha baraza maana nikifikiria idadi ya wazara zilizopo nikilinganisha na hao waheshimiwa naona wamezidi.!
Hajui kuwa hawa wa kwetu akili mingi,vichwa vyao ni computer tosha...Mkuu kwa hiyo kilichokukosha wewe ni kuona mawaziri wa Kenya wakitumia computer/Tablets?
Hivi glass wastes unaweza kuzifanyia rececyleNimefanya kazi kwenye field hiyo, glass waste ni tatizo kubwa na Makampuni yanayozalisha vinywaji hivo yamewekeza lots of money kwenye kusafisha mazingira.
duuh! sioni kama kuna ulazima wote hao eti kila wizara aje waziri,naibu na katibu mkuu ni matumizi mabaya ya posho angalia hio picha ya Kenya ni mawaziri tu ila sie hatuna hata aibu.. mbona mawaziri tu pekee wangetosha kuwawakilisha hao wenzao naibu na katibuManaibu na makatibu if needed.
duuh! sioni kama kuna ulazima wote hao eti kila wizara aje waziri,naibu na katibu mkuu ni matumizi mabaya ya posho angalia hio picha ya Kenya ni mawaziri tu ila sie hatuna hata aibu.. mbona mawaziri tu pekee wangetosha kuwawakilisha hao wenzao naibu na katibu
ukicheki la Kenya dah hadi huruma aise, kuanzia moenekano bana ni ukabila tupu, mawaziri wamejawa hofu, wasiwasi na hofu ya kubanduliwa kikabila at any given time maskini ya Mungu..Najaribu kauangalia kikao cha mawaziri cha Kenya naona wako very profesional, tunakwama wapi kikao cha Mwaziri Tanzania utazania kikao cha kupitisha tenda? Au ni wanapitisha tenda za Waarabu walio tenda juu zaidi kununua nchi?
View attachment 3120776
Hii ni kikao cha Mwaziri Dodoma.
View attachment 3120788
Hapa ni Nairobi kikao cha Mawazori.
View attachment 3120793
Hii ni kama wanapitisha tenda za kuuza nchi.
View attachment 3120800
La Kenya limepambwa na sura ya ukabila na ukanda, na ukiwatazama vizuri mawaziri ni kama vile hawana uhakika wala tumaini la kuwepo ofisini kesho. Hawana nuru, hawana amani dah 🐒Ita wenzio kina Lucas Mwashambwa na Mganga wa Jadi Tlaatlaah mje muone aibu kwa pamoja.
Yes mkuu zinafanyiwa lakini kwa hapa Kwetu ni Kioo Limited tu mwenye uwezo huo.Hivi glass wastes unaweza kuzifanyia rececyle