Fangasi kwenye Korodani

Fangasi kwenye Korodani

Kama title ya thread ilivyo hapo juu. Naomba kwa anaye fahamu dawa ya fangasi kando kando ya pumbu zinakolalia (mapajani) zinasumbua sana sana Kwakweli.
Anaye fahamu dawa naomba maelekezo tu jamani
Umeshaenda "sibitali"?Nenda kwa wataalamu wa afya ya ngozi wakupe muongozo.Wahi yasije kung'oka!
 
Umeshatumia dawa yoyote.
Miaka kama 3 nyuma kuna dawa nilipewa niitumie ni vidonge 30. Vilisaidia sana sana maana nilikuwa na wale mba usoni waliondoka wote uso wangu ukawa soft sana. Na hizo fangasi au mba waliokuwepo kwenye pumbu walikwisha kabisa. Kwa sasa naona km vinarudi pole pole tena kwenye paja pumbu zinakolalia
 
Natamani niijue dawa uliyotumia awali.

Anyway, tumia Hydrocortisone cream.
 
Kama umetumia dawa zote unazozijua na 'hawajaondoka', ujue hao sio fungus. Ni ugojwa wa ngozi ambapo ngozi inapa aleji.
Meza ant allergic drug kama cetrizine kidonge kimoja kabla ya kulala kila siku.
Nadhani ndio hivi vidonge nilimeza kwa siku 30 usiku kila nikilala nikapona km miaka 3 sasa imepita vimerud tena
 
Miaka kama 3 nyuma kuna dawa nilipewa niitumie ni vidonge 30. Vilisaidia sana sana maana nilikuwa na wale mba usoni waliondoka wote uso wangu ukawa soft sana. Na hizo fangasi au mba waliokuwepo kwenye pumbu walikwisha kabisa. Kwa sasa naona km vinarudi pole pole tena kwenye paja pumbu zinakolalia
Andika korodani.Siyo uandike ngozi-mnyauko kama unavyorudiarudia.
 
Miaka kama 3 nyuma kuna dawa nilipewa niitumie ni vidonge 30. Vilisaidia sana sana maana nilikuwa na wale mba usoni waliondoka wote uso wangu ukawa soft sana. Na hizo fangasi au mba waliokuwepo kwenye pumbu walikwisha kabisa. Kwa sasa naona km vinarudi pole pole tena kwenye paja pumbu zinakolalia
Tatizo unajitibu peke yako.Ukitibu mtibu na mpenzi wako.
 
Kama title ya thread ilivyo hapo juu. Naomba kwa anaye fahamu dawa ya fangasi kando kando ya pumbu zinakolalia (mapajani) zinasumbua sana sana Kwakweli.
Anaye fahamu dawa naomba maelekezo tu jamani
Kuwa msafi badilisha chupi/boksa kila mara. Nyoa vuzi hizo fungus zinasababishwa na unyevunyevu unaotokana na jasho.
Nenda duka la dawa nunua dawa ya tube inaitwa candiderm
 
Back
Top Bottom