Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshaenda "sibitali"?Nenda kwa wataalamu wa afya ya ngozi wakupe muongozo.Wahi yasije kung'oka!Kama title ya thread ilivyo hapo juu. Naomba kwa anaye fahamu dawa ya fangasi kando kando ya pumbu zinakolalia (mapajani) zinasumbua sana sana Kwakweli.
Anaye fahamu dawa naomba maelekezo tu jamani
Miaka kama 3 nyuma kuna dawa nilipewa niitumie ni vidonge 30. Vilisaidia sana sana maana nilikuwa na wale mba usoni waliondoka wote uso wangu ukawa soft sana. Na hizo fangasi au mba waliokuwepo kwenye pumbu walikwisha kabisa. Kwa sasa naona km vinarudi pole pole tena kwenye paja pumbu zinakolaliaUmeshatumia dawa yoyote.
Umeshamjibu..Pole sana.
Ukipona acha kupiga mademu wa hovyo hovyo, pia jitahidi kuzingatia usafi.
Hahah Kweli?Umeshaenda "sibitali"?Nenda kwa wataalamu wa afya ya ngozi wakupe muongozo.Wahi yasije kung'oka!
Ndiyo hivyo aisee!Hahah Kweli?
Hapana mm sio wa mademu saana mkuu.Umeshamjibu..
Natamani niijue dawa uliyotumia awali.Miaka kama 3 nyuma kuna dawa nilipewa niitumie ni vidonge 30. Vilisaidia sana sana maana nilikuwa na wale mba usoni waliondoka wote uso wangu ukawa soft sana. Na hizo fangasi au mba waliokuwepo kwenye pumbu walikwisha kabisa. Kwa sasa naona km vinarudi pole pole tena kwenye paja pumbu zinakolalia
Nadhani ndio hivi vidonge nilimeza kwa siku 30 usiku kila nikilala nikapona km miaka 3 sasa imepita vimerud tenaKama umetumia dawa zote unazozijua na 'hawajaondoka', ujue hao sio fungus. Ni ugojwa wa ngozi ambapo ngozi inapa aleji.
Meza ant allergic drug kama cetrizine kidonge kimoja kabla ya kulala kila siku.
Andika korodani.Siyo uandike ngozi-mnyauko kama unavyorudiarudia.Miaka kama 3 nyuma kuna dawa nilipewa niitumie ni vidonge 30. Vilisaidia sana sana maana nilikuwa na wale mba usoni waliondoka wote uso wangu ukawa soft sana. Na hizo fangasi au mba waliokuwepo kwenye pumbu walikwisha kabisa. Kwa sasa naona km vinarudi pole pole tena kwenye paja pumbu zinakolalia
Tatizo unajitibu peke yako.Ukitibu mtibu na mpenzi wako.Miaka kama 3 nyuma kuna dawa nilipewa niitumie ni vidonge 30. Vilisaidia sana sana maana nilikuwa na wale mba usoni waliondoka wote uso wangu ukawa soft sana. Na hizo fangasi au mba waliokuwepo kwenye pumbu walikwisha kabisa. Kwa sasa naona km vinarudi pole pole tena kwenye paja pumbu zinakolalia
Kuwa msafi badilisha chupi/boksa kila mara. Nyoa vuzi hizo fungus zinasababishwa na unyevunyevu unaotokana na jasho.Kama title ya thread ilivyo hapo juu. Naomba kwa anaye fahamu dawa ya fangasi kando kando ya pumbu zinakolalia (mapajani) zinasumbua sana sana Kwakweli.
Anaye fahamu dawa naomba maelekezo tu jamani
Duuuh Location sio nzuri hizi mba zilipo mkuu utaona mashineNenda hospital. Au piga picha tuone.Ni ngumu kufanya diagnosis bila kuona hali halisi .Ikute si fangas ni Bacteria au Virus.
Cream hazitibu bwana,napaka cream na kula vidonge kwa zaidi ya miaka 20,lakini fungus huja na kuondoka wapendavyoNatamani niijue dawa uliyotumia awali.
Anyway, tumia Hydrocortisone cream.
Wewe bado mtoto Sana...fungus uzifukuze kwa cream!?..fungus hazitokani na uchafu,acha ujingaKuwa msafi badilisha chupi/boksa kila mara. Nyoa vuzi hizo fungus zinasababishwa na unyevunyevu unaotokana na jasho.
Nenda duka la dawa nunua dawa ya tube inaitwa candiderm
Kwa upande wa boksa naweza nikakubaliana na ww maana navaa boksa 2 tu kwa wiki. Huwa sizidishiKuwa msafi badilisha chupi/boksa kila mara. Nyoa vuzi hizo fungus zinasababishwa na unyevunyevu unaotokana na jasho.
Nenda duka la dawa nunua dawa ya tube inaitwa candiderm