Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Sio hivyo zinanikosesha raha. Kun muda ukianza kupiga mashine unajificha ficha mwenzako asihisi una UkimwiWe acha uumwe tu
Huwenda ni joto basi mimi sipo Dar nipo Kigoma mwisho wa reliiiiMkuu kama unaishi Dar hayo mafangasi yanasumbua sana,but ukienda mikoa ya baridi kama Njombe,Iringa,Mbeya au Dodoma ukikaa 3 days tu wote wanakwisha.
Sasa sijui ni maji ya Dar au joto sijui ni kipi kinachangia sana.
Fangasi wanaishi kwenye acid dawa yao ni mizizi na mbogadawa za kuwaondoaAnaye fahamu dawa naomba maelekezo tu jamani.
Nakazia hapa. dawa ya nzuri ya fangasi (pumbujero[emoji3]) ni vidonge hizo cream hazikunisaidia kipindi niliuguaCream hazitibu bwana,napaka cream na kula vidonge kwa zaidi ya miaka 20,lakini fungus huja na kuondoka wapendavyo
Mimi naongélea mba wa sehemu alizotaja na reliable sources mbalimbali zimetaja fungus hao wanachangiwa kukuwa kwa sababu ya hizo hali nilizotaja.MBA wanaotokea usoni siyo funguses!?..usoni Kuna hayo mazingira uliyosema!?
Ataona mashine?Kwani anakufahamu?Iwekee fake id na yenyewe isitambulike.Duuuh Location sio nzuri hizi mba zilipo mkuu utaona mashine
Hazitibu kwa kuwa hao sio fungus. Ni aleji ya ngozi (hives)Cream hazitibu bwana,napaka cream na kula vidonge kwa zaidi ya miaka 20,lakini fungus huja na kuondoka wapendavyo
Inaweza kuwa ugonjwa wa zinaa unaitwa Trichonomiasis. Huu unatibiwa na antibiotics inaitwa Metronidazole/FlagylKwa maelezo tu unawez kuelewa. Ukikuna vinatoa kama ukoko mweupe hivi
Babu fungus...nakuna nasikia utamu,na najua nikiwapatajeHazitibu kwa kuwa hao sio fungus. Ni aleji ya ngozi (hives)
Tunaweka pumbu swafi,kavu na badoMimi naongélea mba wa sehemu alizotaja na reliable sources mbalimbali zimetaja fungus hao wanachangiwa kukuwa kwa sababu ya hizo hali nilizotaja.
Note: hakuna kitu kimoja kinachochangia, yapo mengi ila kwenye hayo mazingira anapaswa kuyaweka safi. Unataka nikuwekee references za reliable medical sources zinachosema nilichosema?
Kuna sababu kibao za kupata fungus kwa pumbu na hizo nilizotaja ni mojawapo.Tunaweka pumbu swafi,kavu na bado
Umeshupaa!!Kuna sababu kibao za kupata fungus kwa pumbu na hizo nilizotaja ni mojawapo.
Ni ukweli huo ukiamua kuukataa sikulazimishiUmeshupaa!!
Tatizo ni joto ambalo husababisha majasho na unyevunyevu kwenye mapumbu muda wote. Na usipobadili boxer kila siku lazima uteswe na fungus.Mkuu kama unaishi Dar hayo mafangasi yanasumbua sana,but ukienda mikoa ya baridi kama Njombe,Iringa,Mbeya au Dodoma ukikaa 3 days tu wote wanakwisha.
Sasa sijui ni maji ya Dar au joto sijui ni kipi kinachangia sana.
SawaFungus siyo wali uziivishe kwa mafuta ya nazi
Ni mazuri sana ukishaoga kausha kwa taulo jipake mengi kabisa kutwa mara nne au tano utajaniambiaHii nayo mpya. Ni mafuta ya nazi haya haya ya watoto? Ngoja nikanunue nijipake