Fangasi kwenye Korodani

Fangasi kwenye Korodani

Anaye fahamu dawa naomba maelekezo tu jamani.
Fangasi wanaishi kwenye acid dawa yao ni mizizi na mbogadawa za kuwaondoa

Tafuta vifuatavyo:

Baking soda weka mchanganyo wa kijiko kimoja kwenye maji pima vijiko 3/4 vikubwa changanya paka hapo kwenye tatizo la hizo fangasi

Tafuta tangawizi menya kiasi tafuna ikiwa mbichi sukumia na maji robo glass

Tafuta vitunguu saumu vya kienyeji acha vile vya kihindi na kichina vyenye Sukari nyingi tafuna punje 2 × 3 kisha chukua 2/3 pondaponda paka kwenye kolo

Fanya hivyo kwa mda wa wiki utaanza pata nafuu,

Kisha jitahidi sana uwe msafi wa boxa zako uwe unafua boxa zako mara kwa mara kwa siku vaa boxa mara 1 tu usirudie boxa kila siku au boxa 1 wiki nzima pia oga usikae na mijasho mda mrefu boxa vaa cotton zinazoweka kufyonza jashojasho la kwenye hilo eneo la hapo palipopata hitilafu

Angalizo: utapona taratibu taratibu usiwe na haraka ya kupona

404: Page Not Found
 
Hawa moderates wapo haraka sana. Mimi nimeandika title yangu Fangasi kwenye Pumbu. Wao wameandika Korodani hahah jamaaan.
Pumbu ingevutia watu wengi kusoma thread na kutoa ushuhuda kwamba waliponaje? Korodani ni neno mficho saana wengine hawajui ni nn?
 
MBA wanaotokea usoni siyo funguses!?..usoni Kuna hayo mazingira uliyosema!?
Mimi naongélea mba wa sehemu alizotaja na reliable sources mbalimbali zimetaja fungus hao wanachangiwa kukuwa kwa sababu ya hizo hali nilizotaja.
Note: hakuna kitu kimoja kinachochangia, yapo mengi ila kwenye hayo mazingira anapaswa kuyaweka safi. Unataka nikuwekee references za reliable medical sources zinachosema nilichosema?
 
Mimi naongélea mba wa sehemu alizotaja na reliable sources mbalimbali zimetaja fungus hao wanachangiwa kukuwa kwa sababu ya hizo hali nilizotaja.
Note: hakuna kitu kimoja kinachochangia, yapo mengi ila kwenye hayo mazingira anapaswa kuyaweka safi. Unataka nikuwekee references za reliable medical sources zinachosema nilichosema?
Tunaweka pumbu swafi,kavu na bado
 
Mkuu kama unaishi Dar hayo mafangasi yanasumbua sana,but ukienda mikoa ya baridi kama Njombe,Iringa,Mbeya au Dodoma ukikaa 3 days tu wote wanakwisha.
Sasa sijui ni maji ya Dar au joto sijui ni kipi kinachangia sana.
Tatizo ni joto ambalo husababisha majasho na unyevunyevu kwenye mapumbu muda wote. Na usipobadili boxer kila siku lazima uteswe na fungus.
 
Back
Top Bottom