Fangasi kwenye Korodani

Fangasi kwenye Korodani

Tumia detto ile ya maji.. ukishaoga unai dilute kidogo na maji alaf unamwagia iyo sehem kwa siku 30 au zaid.. au unatumia sabuni ya detto unapaka tu mpaka inakaukia huko.. hakikisha siku kuanzia 30 na kuendelea kila siku hata kama umeona pamepona sababu wanatabia ya kurud usipowatreat vizuri
 
Kama title ya thread ilivyo hapo juu. Naomba kwa anaye fahamu dawa ya fangasi kando kando ya pumbu zinakolalia (mapajani) zinasumbua sana sana Kwakweli.
Anaye fahamu dawa naomba maelekezo tu jamani
Hakuna dawa zaidi ya mafuta ya nazi
Epuka wanaokuambia sijui dawa hmgani duka la dawa sijui lotion gani hapana hapo paka mafuta ya nazi kila baada ya mda,mi nilikuwa natoka pumba kabisa saa hivi nafurahia sana hakuna kitu nimetumia zaidi ya mafuta ya nazi
 
Fungus mara nyingi ni viumbe tunaoishi nao kwenye miili yetu.
Conditions, zikibadilika. Watanaibadili ngozi.
Hospital za kanisa zimewekeza kwenye kutibu fungus..Kuna ile ya itigi na moja ya dar...fungus ni complicated,ukienda hospital wanakupa tube na ketoconazole,sijui vitu gani...vyote hola,nafuga fungus mwaka wa 26 huu,naishi nazo Kama ndugu wa damu
 
Hakuna dawa zaidi ya mafuta ya nazi
Epuka wanaokuambia sijui dawa hmgani duka la dawa sijui lotion gani hapana hapo paka mafuta ya nazi kila baada ya mda,mi nilikuwa natoka pumba kabisa saa hivi nafurahia sana hakuna kitu nimetumia zaidi ya mafuta ya nazi
Fungus siyo wali uziivishe kwa mafuta ya nazi
 
Miaka kama 3 nyuma kuna dawa nilipewa niitumie ni vidonge 30. Vilisaidia sana sana maana nilikuwa na wale mba usoni waliondoka wote uso wangu ukawa soft sana. Na hizo fangasi au mba waliokuwepo kwenye pumbu walikwisha kabisa. Kwa sasa naona km vinarudi pole pole tena kwenye paja pumbu zinakolalia
Fluconazole hio
 
Hakuna dawa zaidi ya mafuta ya nazi
Epuka wanaokuambia sijui dawa hmgani duka la dawa sijui lotion gani hapana hapo paka mafuta ya nazi kila baada ya mda,mi nilikuwa natoka pumba kabisa saa hivi nafurahia sana hakuna kitu nimetumia zaidi ya mafuta ya nazi
Hii nayo mpya. Ni mafuta ya nazi haya haya ya watoto? Ngoja nikanunue nijipake
 
Hakuna dawa zaidi ya mafuta ya nazi
Epuka wanaokuambia sijui dawa hmgani duka la dawa sijui lotion gani hapana hapo paka mafuta ya nazi kila baada ya mda,mi nilikuwa natoka pumba kabisa saa hivi nafurahia sana hakuna kitu nimetumia zaidi ya mafuta ya nazi
Sasa mafuta ya Nazi si panafanya maeneo hayo kuwa nyevu nyevu zaidi?
Na hayo mafuta ni hayo ya parchuti?
 
Back
Top Bottom