Fangasi kwenye Korodani

Fangasi kwenye Korodani

Vuzi nanyoa. Sema kuna msemo wa watu kwamba vuzi hupendezesha uchi kuna kipindi nikajikuta ni muumini wa kufuga vuzi. Km naenda job nachana kwa kitana kidogo nywele za kichwa na vuzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama title ya thread ilivyo hapo juu.

Naomba kwa anayefahamu dawa ya fangasi kando kando ya pumbu (korodani) zinakolalia (mapajani) zinasumbua sana sana Kwakweli.

Anaye fahamu dawa naomba maelekezo tu jamani.
Alovera inasaidia Ila uwe unatumia na kitunguu swaumu, itaisha hiyo.

Kama vipi nunua nyagi ndogo unakuwa una mwagia hapo kila ukitoka kuoga, pakikauka unapaka mafuta ya nazi. Dozi siku 3, ulete mrejesho!
 
Kwa upande wa boksa naweza nikakubaliana na ww maana navaa boksa 2 tu kwa wiki. Huwa sizidishi
Kuna ugumu gani kubadili boksa kila siku? Zaidi ya kutumia dawa, ugonjwa unaojirudia utibu kwa kubadili lifestyle. Oga vizuri, nyoa, kausha maji vizuri acha haraka haraka zako.

Then seek for medications.
 
Kama title ya thread ilivyo hapo juu.

Naomba kwa anayefahamu dawa ya fangasi kando kando ya pumbu (korodani) zinakolalia (mapajani) zinasumbua sana sana Kwakweli.

Anaye fahamu dawa naomba maelekezo tu jamani.
Timia mafuta ya Nazi ya maji.
Can coconut oil be used for bacterial infection?



7 Creative Ways to Use Coconut Oil in Your Health and Beauty ...


Coconut oil is rife with lauric acid, which has antibacterial and antifungal activity that fights harmful bacteria. As a moisturizer, it may also help repair the skin's barrier, which is your body's first line of defense against infection.
 
Pole mkuu.... Nenda hospitali ili ujue kama io hali imetokana na fangas au bacteria au virus ili upatiwe matibabu stahiki..

Pia kuna hii dawa inaitwa kibiriti upele itafute ujaribu kuitumia. Inapatikana kwa wale watu wanaouza dawa /sumu za mende, panya, sisimizi.. Hii dawa inaweza kukusaidia ukifata maelekezo na kuitumia ipasavyo..
 
Back
Top Bottom