NAHAL
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 1,670
- 3,281
Sasa yeye anashangaa fangasi Kwa Binadamu ni Jambo la kawaida wala si la kuanzishia Mada Kwa MTU mwelewa alitaka fangasi iwapate pusi??kuwa na akili wewe bibiee,,,ukiendelea kudandia Mada nitakukaza mnoo kama nati ya nyuma kwenye tairi ya bajaji!!Kwa hiyo ndiyo nini?
Watu wapo Ghaza wewe unaleta mambo ya Ufaransa. Rudia tena post namba moja.