Fangasi za korodani zimeanza kubandua ngozi na kutengeneza vijipele, msaada!

Joined
Dec 13, 2023
Posts
67
Reaction score
238
Wakuu kwema.

Hivi karibuni nilikuja humu kuomba msaada wa jinsi ya kutibu hizi fangasi baada ya kushindikana hospital

Nimekuwa nikipewa dawa ileile kwa kila daktari nayemtembelea, nimeenda hadi kwa daktari specialist wa ngozi lakini dawa aliyonipatia ni kama niliyokuwa napewa na wengine, nimetumia lakini hakuna unafuu.

Kinachonishangaza ni kwamba fangasi si fangasi tena, imeleta vijipele kuanzia kwenye pumbu, uboo, mapaja.

Tofauti na ilivyokuwa ikionekana awali kwasasa ngozi ya juu iliyokuwa imeathiriwa imeanza kubanduka yenyewe, sijajua kama ndio dalili ya kupona lakini nimekuja kuwaomba msaada wenu wakuu.

Kama kuna mtu anaelewa dawa ya kutibu hii shida tafadhali sana naombeni msaada wenu.
 
KENDE INABUNGULIWA NA MCHWA 🤣🤣
 
Acha kuvaa boksa mbichi...ukiaenda haja kubwa baada ya kujisaidia na kujiswafi kwa maji tumia tissue kukausha maji kabla hujavaa. Fangasi na unyevu ni maswahiba. Pia acha kuanika boksa toilet au bafuni
Yes upo sahihi. Nilivyokuwa chuo udom huu ugonjwa ulikuwa unanipata sana kutokana na maji
 
Huo ugonjwa wa pumbu jero

DR Mambo Jambo ngoja aje akupe ushauri

Pole sana
Anatakiwa Kurudi kwa Daktari wa Ngozi kumuonyesha tena na Afanye uchunguzi..

Kwa sababu magonjwa mengi ya Ngozi yanafanana na Huwezi kuyatambua kwa maelzlezo ya Maandishi tu Lazima Daktari afanye mlingano wa Maumbile Ngozi, Athari yake Na Muonekano wa Sehemu iliyoathirika na yote hiyo huwezi kuielezea kwa Maandishi..

Fungus Inaweza kufanana na Psoriasis au Lichen au impetigo ,Intertrigo (Hii Husababishwa na Joto jasho la mara kwa mara),

Kwangu Mimi kwa maelezo uliyotoa ninahisi Una Erythrasma na sio Fungus

Erythrasma (Hii inafanana sana na Fungus Na hutokea Mapajani Kwenye uvungu na Mara nyingine kwenye Ngozi ya Mapum** (Mfuko unaobeba maken**).. na hata kwenye makwapa Pia na sehemu zingine zilizojificha ficha

Wengi wanaimistake na Fungus..na Unaweza ukamaliza Dawa za Fungus Na Usipone Maana hao ni Bacteria na Sio fungi

So ushauri rudi kwa Daktari mueleze kila kitu achunguze mwenyewe aone na ikiwezekana Kama ni ya Muda mrefu na Umetumia Dawa aina Nyingi atafanya Culture na sensitivity..

BCC: hermanthegreat
CC: The blessed one1
 
Advance hii tulikuwa tukiita Potential energy(PE), ni Noma.

Pole mkuu , jaribu kutumia dawa inaitwa SONADERM , ni bonge moja la dawa, trust me , nenda farmers yoyote ile inapatikana kwa wingi.
 
Mkuu weka picha, naweza kufanya kitu
 
Try this: kwanza uwe na feni lenye spidi kali sana. Halafu tafuta concentrated sulphuric ACID. Tatu, washa feni. Paka hiyo ACID TARATIBU. panua miguu yako, elekeza zaga kwenye feni kwa mda wa dakika 15. Zaga likishapozwa na feni ugonjwa kwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…