mangiTz
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,820
- 3,062
๐ ๐Mkuu zingatia usafi...miaka tukiwa uboyzn tulikua tunaita pumbu erosion, ilikua ifiki kwenye ub<><> hua inaathiri tu ngozi ya pvmbv
Zingatia usafi mkuu ,Wakuu kwema.
Hivi karibuni nilikuja humu kuomba msaada wa jinsi ya kutibu hizi fangasi baada ya kushindikana hospital
Nimekuwa nikipewa dawa ileile kwa kila daktari nayemtembelea, nimeenda hadi kwa daktari specialist wa ngozi lakini dawa aliyonipatia ni kama niliyokuwa napewa na wengine, nimetumia lakini hakuna unafuu.
Kinachonishangaza ni kwamba fangasi si fangasi tena, imeleta vijipele kuanzia kwenye pumbu, uboo, mapaja.
Tofauti na ilivyokuwa ikionekana awali kwasasa ngozi ya juu iliyokuwa imeathiriwa imeanza kubanduka yenyewe, sijajua kama ndio dalili ya kupona lakini nimekuja kuwaomba msaada wenu wakuu.
Kama kuna mtu anaelewa dawa ya kutibu hii shida tafadhali sana naombeni msaada wenu.
1) zingatia sehemu iliyo athirika pasiwe na unyevu/ maji kufika
2) usirudie nguo/wala usvae nguo mbichi ukitoka kuoga
3) usivae nguo ya kubana acha hewa ipite
Bakteria wataisha wenyewe kwa msaada wa kutumia dawa uliopewa hospitali