Anatakiwa Kurudi kwa Daktari wa Ngozi kumuonyesha tena na Afanye uchunguzi..
Kwa sababu magonjwa mengi ya Ngozi yanafanana na Huwezi kuyatambua kwa maelzlezo ya Maandishi tu Lazima Daktari afanye mlingano wa Maumbile Ngozi, Athari yake Na Muonekano wa Sehemu iliyoathirika na yote hiyo huwezi kuielezea kwa Maandishi..
Fungus Inaweza kufanana na
Psoriasis au
Lichen au
impetigo ,
Intertrigo (Hii Husababishwa na Joto jasho la mara kwa mara),
Kwangu Mimi kwa maelezo uliyotoa ninahisi Una Erythrasma na sio Fungus
Erythrasma (Hii inafanana sana na Fungus Na hutokea Mapajani Kwenye uvungu na Mara nyingine kwenye Ngozi ya Mapum** (Mfuko unaobeba maken**).. na hata kwenye makwapa Pia na sehemu zingine zilizojificha ficha
Wengi wanaimistake na Fungus..na Unaweza ukamaliza Dawa za Fungus Na Usipone Maana hao ni Bacteria na Sio fungi
So ushauri rudi kwa Daktari mueleze kila kitu achunguze mwenyewe aone na ikiwezekana Kama ni ya Muda mrefu na Umetumia Dawa aina Nyingi atafanya Culture na sensitivity..
BCC:
hermanthegreat
CC:
The blessed one1