Fangasi za korodani zimeanza kubandua ngozi na kutengeneza vijipele, msaada!

Fangasi za korodani zimeanza kubandua ngozi na kutengeneza vijipele, msaada!

Wakuu kwema.

Hivi karibuni nilikuja humu kuomba msaada wa jinsi ya kutibu hizi fangasi baada ya kushindikana hospital

Nimekuwa nikipewa dawa ileile kwa kila daktari nayemtembelea, nimeenda hadi kwa daktari specialist wa ngozi lakini dawa aliyonipatia ni kama niliyokuwa napewa na wengine, nimetumia lakini hakuna unafuu.

Kinachonishangaza ni kwamba fangasi si fangasi tena, imeleta vijipele kuanzia kwenye pumbu, uboo, mapaja.

Tofauti na ilivyokuwa ikionekana awali kwasasa ngozi ya juu iliyokuwa imeathiriwa imeanza kubanduka yenyewe, sijajua kama ndio dalili ya kupona lakini nimekuja kuwaomba msaada wenu wakuu.

Kama kuna mtu anaelewa dawa ya kutibu hii shida tafadhali sana naombeni msaada wenu.
 

Attachments

  • IMG_20240609_174609.jpg
    IMG_20240609_174609.jpg
    80.6 KB · Views: 25
Mkuu tumia hiyo dawa ....zinapatikana Pharmacy .....zinauzwa elfu 17 mpaka 20 utapona kaka ondoa wasiwasi
 
Hiyo lugha ya zamani tuliita pumbu bomu
Ila mantain personal hygien
Cheki mchafuko wa damu
Paka BBE tu
 
Back
Top Bottom