Fangasi za korodani zimeanza kubandua ngozi na kutengeneza vijipele, msaada!

hii ni fungus
 
Hii hali mara nyingi usiku ndio inakuwa mbaya sana unawashwa zaidi?
Nimewai kuumwa miezi zaidi ya minne. Tiba tu ilizidi 250k sijaona nafuu yoyote wala kupona cha ajabu nikaja kupona na dawa hata haifiki elfu tano.

Kanunue BBE dawa ya kupaka, nazani pharmacy haizidi hata elfu 3 ndani ya siku tatu utaanza kuona changes, Otherwise utahangaika sana.
uje kutupa mrejesho hiyo BBE ni 100% unapona speaking from experience.
 
miaka karibia 20 sasa...nilishauliwa na doctor mmoja pale morogoro...nikazingatia hadi leo hakuna tatizo kama hilo...hata mimi nikajua nimekwisha habari yangu...kumbe hamna kitu. Dr alinishauri niache kuvaa chupi na nisivae boksa za kunibana....nikaanza kuvaa boksa pana kama suruali ...chupi zote nikachoma moto..hadi leo tatizo halijarudia tena wala sikutumia dawa😎😎..ni hayo tu mkuu
 
Mwanangu katafute dawa ya minyoo narudia tena katafute dawa ya minyooo zile za miti shamba(herbal medicine).

Na kwenye ngozi kanunue mafuta ya nyonyo yale rangi ya clear(yellow) uwe unapaka kwenye hizo fungus wiki tu utaleta uzi wa kupona hapa.

Kama hutopoa nitalipia harama za manunuzi yako yote
 
Mkuu chupi za kiume bado zipo?
 
Kwani kuna wanaume wanavaa chupi mpaka Leo?
 
Kende zinataka kujikataa kivyake, zimemchoka jamaa. Inaonekana anazipitisha sehemu sizo halafu unaziacha na unyevu.
Kama upo Dar, nenda Tegeta kwa Ndevu, ulizia hospitali ya masista (jina sijalishika). Hapo nawaaminia kwa mambo kama hayo. Ukifika hapo ufunguke kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…