Fangasi za korodani zimeanza kubandua ngozi na kutengeneza vijipele, msaada!

Mkuu zingatia usafi...miaka tukiwa uboyzn tulikua tunaita pumbu erosion, ilikua ifiki kwenye ub<><> hua inaathiri tu ngozi ya pvmbv
πŸ˜…πŸ˜…
Zingatia usafi mkuu ,

1) zingatia sehemu iliyo athirika pasiwe na unyevu/ maji kufika
2) usirudie nguo/wala usvae nguo mbichi ukitoka kuoga
3) usivae nguo ya kubana acha hewa ipite

Bakteria wataisha wenyewe kwa msaada wa kutumia dawa uliopewa hospitali
 
mkuu ulikua unatinga sammbuusaa
 
mkuu ulikua unatinga sammbuusaa
mwanzoni nilisumbuka sana ila baada ya muda nikazoea hadi kesho sipati shida. Si unajua mikoa ya pwani ilikuwa akina dada wanavaa madera bila kuvaa nguo za ndani au unapishana na mdada amevaa t-shirt nyeupe pee alafu hajavaa sidiria ndani πŸ™‚ ...basi unapata shida kidogo baada ya muda unakaa sawa mambo yanaendelea
 
Hatari sana
 
Zingatia usafi oga mara mbili kila siku na kausha maeneo yalioathirika na upake (Ketineal)
Dawa hii inauzwa Pharmacy 5000 tu ni Antifungal, Antibacterial, Anti-inflammatory, Antipruritic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…