Fangasi za korodani zimeanza kubandua ngozi na kutengeneza vijipele, msaada!

Attachments

  • IMG_20240609_174609.jpg
    80.6 KB · Views: 59
Mkuu tumia hiyo dawa ....zinapatikana Pharmacy .....zinauzwa elfu 17 mpaka 20 utapona kaka ondoa wasiwasi
 
Acha kula kitu chochote chenye sukari kwa wiki mbili zitapotea zote. Namanisha acha ugali,wali,mihogo,Viazi,mahindi,sukari yenyewe,matunda yenye sukari,ngano, biscuit,soda,juice, pombe nk! Ndani ya izo siku zitaondoka na hutakaa uzione
 
Huu ni ushauri wa kuuq mtu. Maisha yq kitanzania asipokula hivyo atakula nn
 
Huu ni ushauri wa kuuq mtu. Maisha yq kitanzania asipokula hivyo atakula nn
SIjamshaur tu from nowhere, huo ugomjw nimeumwa kwa miaka 4, nimepaka karb kila tube na kula vidonge sana bila kupona
Nlivyofanya nilichomshauri ndani ya mwez nikapona
Sasa achague tiba au awe bahili aendleee kuumwa
 
Dawa namba moja ni usafi na hakikisha una boksa zisizopungua 7 boksa moja kila siku ya wiki,binafsi huo ugonjwa ulinitesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…