Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nadhani Law school imerahisisha maana zamani walikuwa wanapata uwakili wachache kwa kufeli interview.
Usaili mtu anafeli kivipi hasa?
Ni kwamba anaulizwa maswali halafu anashindwa kuyajivu kwa usahihi au anaulizwa maswali ya kimtazamo na kama jibu likienda kinyume na mtazamo wa msaili ndo mtu anafeli?
Kama unavyokuwa kwenye interview ya ajira.
Seriously?
Wow...just wow!!!
Kwa hiyo inawezekana kabisa mtu ukaenda kwenye huo usaili na kama huyo msaili hajaku-feel anakufelisha licha ya kuwa unakijua unachokiongelea!!
SMDH!!
Just on papers but sio kiuhalisia
What papers? kwenye kazi nyingi sana za kimataifa utakuta wanakuambia either an advanced degree in Law, labda kama wewe hauna exposure haufikirii mambo makubwa ya kutoka nje ya nchi unataka uwe wakili labda wa halmashauri nakubaliana wewe kwa mrengo huo wa kufikiri kweli degree ya sheria haina dili, watu wengi wanapenda kuzugumzia habari ya ajira za serikalini hapo kama unamtazamo huo ambao kwangu mimi nauona ni wa kimaskini kweli ajira hakuna.....
Kwanza kula link ya moja wapo ya matangazo ya kazi sawaKaziBongo: Governance Assistant, Addis Ababa, Ethiopia ( Governance Assistant Ethiopia hiyo) kwa kilaza asiye kua na exposure ya kujua kujiuza na kutafuta kazi kimataifa lazima asande, ambae mawazo yake ni ndani na bongo tu lazima asande
In this world there is no jewelry that can be compared with learning and there is no excellent learning like that of law. Anonymous
"In any profession the inferior sort are many and are good for nothing but the superior sort are few and beyond all the prices " source Socrates
Kaka mtazamo wako upo sawa sawa na Law Graduate wengi wa Tz. Wengi wanaamini katika kuajiriwa na ajira zenyewe hazipo ( hususani kwa Law Graduate wa TZ ) . So imani yao hiyo ni dhaifu. Umezungumzia suala la kwenda kufanya kazi nje ya nchi. Can you tell me, ni nchi gani ama kampuni au taasisi gani ya kimataifa ambayo ipo willing kuajiri wanasheria kutoka Tanzania? Najua unaweza kusema " Sychelles" kwa sababu kuna baadhi ya lawyers wa Tanzania wameajiriwa huko but uliza CV za lawyers kutoka Tz ambao wameajirwa Sychelles, wamesona vyuo gani na nchi gani.. Ukisema ujiajiri kama wakili binafsi nalo ni tatizo kubwa sana, kwa sababu legal system ya Tanzania, imekuwa designed katika namna ambayo haiwezi kumsaidia kijana aliye graduate soon na kujiajiri mwenyewe , kuweza kutengeneza "pesa" kupitia taaluma yake. Advocates ambao angalau wanaweza kusema wanaingiza hela kupitia taaluma yao ni wale walioanza ku practice at least kuanzia mwaka 1995 kushuka chini...
Kwa ufupi, there is no connection between legal proffession ( In Tz ) and making money ( In Tz )
Husisha ulicho kiandika na kutengeneza pesa.. Hilo ndo tatizo lenu, mnakaririshwa sana, halafu kibaya zaidi mambo mnayo karirishwa hayana uhusiano wowote na kupiga hela
Wakati mwingine naweza kuwa nabishana na pre- form wasiojua wanachokisema. Naona hujui maana ya kitu ambacho kipo beyond price. Fani ya sheria bado ina soko zuri la ajira na bado ina pesa nyingi ukilinganisha na course nyingi. Labda ungeweza kutoa ushauri wa kujenga kuwa kwa sasa tz tunahitaji kuanza kuspecialize katika maeneo mbalimbali ya sheria. Kusema fani ya sheria haina deal tena hiyo ni frivolous joke.