What papers? kwenye kazi nyingi sana za kimataifa utakuta wanakuambia either an advanced degree in Law, labda kama wewe hauna exposure haufikirii mambo makubwa ya kutoka nje ya nchi unataka uwe wakili labda wa halmashauri nakubaliana wewe kwa mrengo huo wa kufikiri kweli degree ya sheria haina dili, watu wengi wanapenda kuzugumzia habari ya ajira za serikalini hapo kama unamtazamo huo ambao kwangu mimi nauona ni wa kimaskini kweli ajira hakuna.....
Kwanza kula link ya moja wapo ya matangazo ya kazi sawa
KaziBongo: Governance Assistant, Addis Ababa, Ethiopia ( Governance Assistant Ethiopia hiyo) kwa kilaza asiye kua na exposure ya kujua kujiuza na kutafuta kazi kimataifa lazima asande, ambae mawazo yake ni ndani na bongo tu lazima asande