Fani ya Sheria inaonekana haina mashiko tena

Fani ya Sheria inaonekana haina mashiko tena

Nadhani Law school imerahisisha maana zamani walikuwa wanapata uwakili wachache kwa kufeli interview.

Usaili mtu anafeli kivipi hasa?

Ni kwamba anaulizwa maswali halafu anashindwa kuyajiBu kwa usahihi au anaulizwa maswali ya kimtazamo na kama jibu likienda kinyume na mtazamo wa msaili ndo mtu anafeli?
 
Usaili mtu anafeli kivipi hasa?

Ni kwamba anaulizwa maswali halafu anashindwa kuyajivu kwa usahihi au anaulizwa maswali ya kimtazamo na kama jibu likienda kinyume na mtazamo wa msaili ndo mtu anafeli?

Kama unavyokuwa kwenye interview ya ajira.
 
Kama unavyokuwa kwenye interview ya ajira.

Seriously?

Wow...just wow!!!

Kwa hiyo inawezekana kabisa mtu ukaenda kwenye huo usaili na kama huyo msaili hajaku-feel anakufelisha licha ya kuwa unakijua unachokiongelea!!

SMDH!!
 
Mleta mada umenikumbusha jinsi jamaa walivyopiga dili za udalali wa viwanja na maahamba ya watu.

Wanaendesha kesi wanashinda kwa upande wa mlalamikiwa hukumu inasema liuzwe. Jamaa akawa ananua yeye.Akawa bilionea then laana ikaja. Akjiua kwa mazingira tatanishi huko Kenya.
Fani iliyolaaniwa kuliko zote ndio hii.
 
In this world there is no jewelry that can be compared with learning and there is no excellent learning like that of law. Anonymous
"In any profession the inferior sort are many and are good for nothing but the superior sort are few and beyond all the prices " source Socrates
 
Seriously?

Wow...just wow!!!

Kwa hiyo inawezekana kabisa mtu ukaenda kwenye huo usaili na kama huyo msaili hajaku-feel anakufelisha licha ya kuwa unakijua unachokiongelea!!

SMDH!!

Una umri gani, kama ni wa zamani kidogo ilibidi ujue utaratibu huo kama ulikuwa unapitia pitia/kuwa na interest ya mambo ya sheria/ uwakili au ndugu zako walikuwa wamesoma sheria na wanatafuta uwakili enzi za kabla ya Law school Nasikia lilikuwa jopo la Chief justice, Mwenyekiti?? wa Tanganyika Law society, ..and other very learned brothers (wanavyojiita)
 
Just on papers but sio kiuhalisia

What papers? kwenye kazi nyingi sana za kimataifa utakuta wanakuambia either an advanced degree in Law, labda kama wewe hauna exposure haufikirii mambo makubwa ya kutoka nje ya nchi unataka uwe wakili labda wa halmashauri nakubaliana wewe kwa mrengo huo wa kufikiri kweli degree ya sheria haina dili, watu wengi wanapenda kuzugumzia habari ya ajira za serikalini hapo kama unamtazamo huo ambao kwangu mimi nauona ni wa kimaskini kweli ajira hakuna.....

Kwanza kula link ya moja wapo ya matangazo ya kazi sawahttp://kazibongo.blogspot.com/2015/06/governance-assistant-addis-ababa.html ( Governance Assistant Ethiopia hiyo) kwa kilaza asiye kua na exposure ya kujua kujiuza na kutafuta kazi kimataifa lazima asande, ambae mawazo yake ni ndani na bongo tu lazima asande
 
What papers? kwenye kazi nyingi sana za kimataifa utakuta wanakuambia either an advanced degree in Law, labda kama wewe hauna exposure haufikirii mambo makubwa ya kutoka nje ya nchi unataka uwe wakili labda wa halmashauri nakubaliana wewe kwa mrengo huo wa kufikiri kweli degree ya sheria haina dili, watu wengi wanapenda kuzugumzia habari ya ajira za serikalini hapo kama unamtazamo huo ambao kwangu mimi nauona ni wa kimaskini kweli ajira hakuna.....

Kwanza kula link ya moja wapo ya matangazo ya kazi sawaKaziBongo: Governance Assistant, Addis Ababa, Ethiopia ( Governance Assistant Ethiopia hiyo) kwa kilaza asiye kua na exposure ya kujua kujiuza na kutafuta kazi kimataifa lazima asande, ambae mawazo yake ni ndani na bongo tu lazima asande

Kaka mtazamo wako upo sawa sawa na Law Graduate wengi wa Tz. Wengi wanaamini katika kuajiriwa na ajira zenyewe hazipo ( hususani kwa Law Graduate wa TZ ) . So imani yao hiyo ni dhaifu. Umezungumzia suala la kwenda kufanya kazi nje ya nchi. Can you tell me, ni nchi gani ama kampuni au taasisi gani ya kimataifa ambayo ipo willing kuajiri wanasheria kutoka Tanzania? Najua unaweza kusema " Sychelles" kwa sababu kuna baadhi ya lawyers wa Tanzania wameajiriwa huko but uliza CV za lawyers kutoka Tz ambao wameajirwa Sychelles, wamesona vyuo gani na nchi gani.. Ukisema ujiajiri kama wakili binafsi nalo ni tatizo kubwa sana, kwa sababu legal system ya Tanzania, imekuwa designed katika namna ambayo haiwezi kumsaidia kijana aliye graduate soon na kujiajiri mwenyewe , kuweza kutengeneza "pesa" kupitia taaluma yake. Advocates ambao angalau wanaweza kusema wanaingiza hela kupitia taaluma yao ni wale walioanza ku practice at least kuanzia mwaka 1995 kushuka chini...

Kwa ufupi, there is no connection between legal proffession ( In Tz ) and making money ( In Tz )
 
In this world there is no jewelry that can be compared with learning and there is no excellent learning like that of law. Anonymous
"In any profession the inferior sort are many and are good for nothing but the superior sort are few and beyond all the prices " source Socrates

Husisha ulicho kiandika na kutengeneza pesa.. Hilo ndo tatizo lenu, mnakaririshwa sana, halafu kibaya zaidi mambo mnayo karirishwa hayana uhusiano wowote na kupiga hela
 
Kaka mtazamo wako upo sawa sawa na Law Graduate wengi wa Tz. Wengi wanaamini katika kuajiriwa na ajira zenyewe hazipo ( hususani kwa Law Graduate wa TZ ) . So imani yao hiyo ni dhaifu. Umezungumzia suala la kwenda kufanya kazi nje ya nchi. Can you tell me, ni nchi gani ama kampuni au taasisi gani ya kimataifa ambayo ipo willing kuajiri wanasheria kutoka Tanzania? Najua unaweza kusema " Sychelles" kwa sababu kuna baadhi ya lawyers wa Tanzania wameajiriwa huko but uliza CV za lawyers kutoka Tz ambao wameajirwa Sychelles, wamesona vyuo gani na nchi gani.. Ukisema ujiajiri kama wakili binafsi nalo ni tatizo kubwa sana, kwa sababu legal system ya Tanzania, imekuwa designed katika namna ambayo haiwezi kumsaidia kijana aliye graduate soon na kujiajiri mwenyewe , kuweza kutengeneza "pesa" kupitia taaluma yake. Advocates ambao angalau wanaweza kusema wanaingiza hela kupitia taaluma yao ni wale walioanza ku practice at least kuanzia mwaka 1995 kushuka chini...

Kwa ufupi, there is no connection between legal proffession ( In Tz ) and making money ( In Tz )

Ndugu zipo taasisi kibao tu za kimataifa zipo tayari kuajiri wanasheria au mawakili kutoka Tanzania kuanzia SADC, EACJ, African Court of Human Rights, UN, Commonwealth yani ni taasisi nyingi sana tatizo watu hawana exposure wanadhani kufanya kazi kama Mwanasheria wa halmashauri, au BOT,Vodacom TZ, au CRDB ndo mwisho kwaio hawana mawazo ya kutoka nje ya Tanzania, ndo mana watanzania wengi hawapi kwenye mashirika ya kimataifa kuhusu kujiajiri, kujiajiri ni suala binafsi ambalo inabidi ujue disadvantages za kuajiriwa kwanza na pia uwe tayari kukabiliana na changamoto za kuajiriwa hivyo kujiajiri kwangu mimi ni swala rahisi na channel za hela zipo kwenye miji au wilaya zinazokua mfano mpanda, mbalizi,njombe kwa kifupi channel za hela zipo maana huduma ya kisheria inahitajika sana cha muhimu ni kutocharge gjarama kubwa na pia unatakiwa uwe na uwezo wa kuona fursa zilizopo ukiwa na exposure maisha ni marahisi sana watu hawajui kutafuta kazi mitandaoni wanaijua tume ya ajira utumishi lazima uwe au useme hakuna ajira na hii ni hata kwa kozi zingine maana hata degree ya kiingereza ni dili
 
Husisha ulicho kiandika na kutengeneza pesa.. Hilo ndo tatizo lenu, mnakaririshwa sana, halafu kibaya zaidi mambo mnayo karirishwa hayana uhusiano wowote na kupiga hela

Wakati mwingine naweza kuwa nabishana na pre- form wasiojua wanachokisema. Naona hujui maana ya kitu ambacho kipo beyond price. Fani ya sheria bado ina soko zuri la ajira na bado ina pesa nyingi ukilinganisha na course nyingi. Labda ungeweza kutoa ushauri wa kujenga kuwa kwa sasa tz tunahitaji kuanza kuspecialize katika maeneo mbalimbali ya sheria. Kusema fani ya sheria haina deal tena hiyo ni frivolous joke.
 
Yeeeeaahp thanks mkuu
 
wewe sio mwanasheria, sidhan kama ni sahihi kwako wewe kuponda fani ambayo sio yako?
 
Habarini za jioni...mleta mada nafikiri ana chuki binafsi na fani ya sheria...ningependa kuungana na wachangiaji wengine,kwamba fani ya sheria ipo vizuri inategemea umemwangalia Wakili yupi ama mrengo upi....kwa staili ya mada yake hata kuna watumishi wa dini ukiwafuatilia mambo yao unaweza kusema hakuna haja ya kusali...wakati umuhimu huo upo...usipotoshe watu mzee.
 
Hivi ni specialization ya sheria inayolipa sana?criminal law?family law au corporate law?
 
Moderator, muwe mnaangalia topic za kuachia. Hii ni moja ya tolic kuchuja. Haina maana.
 
Hivi mtu unapoanzisha posts kama hizi kuwakatisha tamaa wengine ni nini!?
Mimi sio mwanasheria, ila ninachojua fani ya sheria itaendelea kuwa muhimu sana kwa jamaa yeyote ile.
Kama kwako haijaenda kama matarajio yako usiwakatishe tamaa wengine. Halafu fani kama hizi sio za kutafutia mafanikio ya haraka ambayo vijana wa kileo wanayataka kwa njia za ujanja ujanja.
Law school imeanzishwa kwa lengo zuri, labda mlalamikie maudhui yake kama yanawakera. Ila huwezi ukakwepa professional guidance kwa fani kama hizo.
Ni sawasawa na wahasibu waseme NBAA ifutwe au mainjinia waseme bodi yao ifutwe n.k.
 
Hakika hujui chochote! uckurupuke kuweka post ili watu wasome na kucomment! chunguza kwanza!
 
Back
Top Bottom