Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujawahi kufeli mwamba..Nina ushuhuda wa mjomba yeye alikuwa akiuza mihogo ya kukaanga.Kwahiyo unataka Mangj ale wapi kwako? Lakini una mawazo mazuri mno.
Sasa kwann jamil hr mkuu was aga Khan ameninyima Kaz wkt anasimamia kampuni kubwa hvyoAga Khani anamiliki hospitali ya Aga Khan DSM, anamiliki magazeti ya mwananchi communication, anamiliki serena hotel, anamiliki jubilee insurance, anamiliki PWC auditing firm, anamiliki standard
Sio kila mtu atafanya hivyo,wewe ukifanya kuna wengine hawatofanyaSomo zuri sana ila sasa ndugu yangu controla umekosea hapo padogo sasa kama ukitaka malighafi nazo uuze mwenyewe je maduka ya wenzako nayo si yatafungwa? hujua tunainuana kwa kila kitu ?
je mwinuko wa uchumi kwa mwingine utapandaje kama sio kuinuana kwa bidhaa tufanyazo?
Nipe darasa mkuu!
Darasa kwa upande gani mkuu?Nipe darasa mkuu!
Utofauti wa mfanyabiashara na mjasiriamaliDarasa kwa upande gani mkuu?
Utofauti mkubwa ni mtazamo kuhusu biashara.Utofauti wa mfanyabiashara na mjasiriamali