Fanya biashara ndani ya biashara yako, uokoe pesa unazopoteza na ujiongezee faida

Fanya biashara ndani ya biashara yako, uokoe pesa unazopoteza na ujiongezee faida

Kwahiyo unataka Mangj ale wapi kwako? Lakini una mawazo mazuri mno.
 
Kwahiyo unataka Mangj ale wapi kwako? Lakini una mawazo mazuri mno.
Hujawahi kufeli mwamba..Nina ushuhuda wa mjomba yeye alikuwa akiuza mihogo ya kukaanga.

Akawa ananunua roba anapanga Yale mafungu ya buku huku anajiuzia mwenyewe kukaanga.

Wateja wa mafungu walikuja kuwa wengi baada ya miezi kazaa akaacha kukaanga rasmi yeye analeta maroba ya viazi na mihogo na biashara imekua sana
 
Congratulations,

Ila biashara ndani ya biashara ni changamoto kiasi chake
Mfano Kuna ishu ya vibali na leseni na muda ukweli.

Kwa kurahisisha ni Bora mtu utafute chimbo upate vitu vyako kwa Bei rafiki uuze upate FAIDA na mzunguko mingine tuwaachie wengine

Kwa mtazamo wangu lkn

Pia kwa hizo bei za konyagi na gas fanya research tena

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wakt nafunguanyuz zako nakuanza kuchukuwa notice shida Sasa Ni kwamb biashara yangu haipo kwenye notce[emoji11][emoji38] zako mkuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Aga Khani anamiliki hospitali ya Aga Khan DSM, anamiliki magazeti ya mwananchi communication, anamiliki serena hotel, anamiliki jubilee insurance, anamiliki PWC auditing firm, anamiliki standard
Sasa kwann jamil hr mkuu was aga Khan ameninyima Kaz wkt anasimamia kampuni kubwa hvyo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Somo zuri sana ila sasa ndugu yangu controla umekosea hapo padogo sasa kama ukitaka malighafi nazo uuze mwenyewe je maduka ya wenzako nayo si yatafungwa? hujua tunainuana kwa kila kitu ?
je mwinuko wa uchumi kwa mwingine utapandaje kama sio kuinuana kwa bidhaa tufanyazo?
 
Somo zuri sana ila sasa ndugu yangu controla umekosea hapo padogo sasa kama ukitaka malighafi nazo uuze mwenyewe je maduka ya wenzako nayo si yatafungwa? hujua tunainuana kwa kila kitu ?
je mwinuko wa uchumi kwa mwingine utapandaje kama sio kuinuana kwa bidhaa tufanyazo?
Sio kila mtu atafanya hivyo,wewe ukifanya kuna wengine hawatofanya

Ninachojaribu kusema ni kwamba "kuwa watofauti" darasani kuna wanafunzi 100

ila wanaotoka na GPA za kueleweka wanahesabika,wanaotoka na Div 1 wanahesabika

wewe kuuza haina maana wengine wasiuze,mimi nitauza vitu vya ndani ya biashara yangu

wewe utauza vitu vya ndani ya biashara yako,nina duka langu la Nguo "siwezi kuuza mkaa"

oviously mkaa nitakuja kuku ungisha tu hata iweje, Nauza zangu Magari Siwezi Uza Chakula

vyovyote vile lazima ntakuja canteen kwako kula, Hata uuze kila kitu bado kuna vitu hutouza

hivyo naendelea na nakazia hakikisha unafanya Biashara ndani ya Biashara Yako Uokoe pesa

unazopoteza na ujiongezee Faida,hiyo ndio siri ya kufanikiwa kama mfanyabiashara na mjasiriamali.
 
Utofauti wa mfanyabiashara na mjasiriamali
Utofauti mkubwa ni mtazamo kuhusu biashara.

Mfanyabiashara anatunza na kulinda biashara.

Mjasiriamali yeye lengo kuu ni kuhakikisha biashara inakua. Ubunifu katika kufanya na kukataa kufanya mambo kimazoea ndiyo kipao mbele.

Ukipitia comments za baadhi ya watu kwenye huu uzi utapata picha halisi.
 
Back
Top Bottom