Fanya haya endapo basi ulilomo ghafla linaanza kupinduka…

Fanya haya endapo basi ulilomo ghafla linaanza kupinduka…

Nakimbizwa

Senior Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
154
Reaction score
302
Picture this🙌: Umekaa ndani ya basi liitwalo X, siti namba X ,unaenda mkoa X kumsalimia X.

Mara ghafla unashtuka basi ulilomo linaanza kuyumba yumba kwa nguvu isivo kawaida na abiria wale viherehere akina mama mostly wameshaanza kupiga kelele za mamaaaa! (statistically speaking women more alert and pay more attention to the small changes in the details of their environment,than males among homo sapens) nini unatakiwa ufanye? Twende kazi👇

NB: Hii njia inafanya kazi kama umekaa kweny siti za katikati, yani ambayo haiko karibu na ukuta wa gari.... sio dirishani wala siti za nyuma kabisa au mbele kwa dereva) maana hizi ndio sehemu ambazo haziwezi kupata direct impact ya ajari, either kwa kugongwa na kitu au kugonga kitu.

Unachotakiwa kufanya ni kuinama haraka sana na kuingia ndani ya uvungu wa siti,na kuhakikisha unakificha kichwa ndani ya siti. Stay low as possible, stay small as possible. Yani hakikisha unapunguza suface area ya mwili wako haraka sana ili kupunguza area ambayo inaweza kuwa hit. Na kupunguza damage.

This will ensure that kuna very small chance gari linapobinuka utaruka nalo na kujibonda kichwani au kwenye sehemu nyeti.

Asilimia kubwa ya majeruhi wa ajali wanaofariki huwa na majeraha ya kichwa.
Hivyo unatakiwa upambane as best as you can kukilinda kichwa chako.

Mimi sio Mungu kwahyo sikuambii kuwa njia hii ina uhakika wa kukufanya upone na kukiponyoka kifo lwa 100%, la hasha! Mimi nachokuambia hii ni njia best ya kukupunguzia probability (uwezekano) ya wewe kuwa mmoja wa marehemu watakaotangazwa kwenye habari kesho yake.

Mtegemee Mungu, sali sana, sali kila saa. Sali kabla hujapanda gari, sali ukishuka gari, sali unapoamka, sali kila unapotoka unapoishi, sali kila kabla na baada ya kumaliza majukumu yako ya siku hiyo, sali kabla ya kurudi nyumbabi, sali ukifika nyumbani, sali kabla ya kulala, sali usingizini.

Kila usqlipo Ombea kwenda jannah/mbinguni na msamaha wa dhambi zako.
Kwa maana kifo muda wote kipo around the corner kikigonga hodi ya kimya kimya, usipokiwahi na kukibania mlango, utakuja kushtukia kimeshakuvamia ndani kimeshakuingilia na hautakuwa na uweZo wa kujitetea.

Siku zote popote stay sharp, always stay alert kama wanawake na always pray.

Kifo always kipo kwa nyuma kunakuvizia...Usipende kukutana nacho maana hutakishinda nguvu, Always kikwepe kabisa na ikiwezekana jifiche kisikuone.

Always tazama macho mbele, usitingishike maana kwa nyuma kuna kifo kinasema Geuka tukuone.

👇
 
Hata kama mambo ya reflex action , sijui cordination asee huo muda huwezi kuupata labda gari iwe inatembea 30Km/hr ila ikianzia 50 hakuna kitu utafanya.
Funga mkanda na usali
Mimi nilipona kwa mbinu hii,gari ilikuwa 90.

lbda ajali ikukute tu umesinzia au unachati....lakini mimi huwa na tabia mda wote macho yapo kodo kwa dereva na barabara na huwa nakaa siti za katikati ili nione vizuri
 
Unatakiwa uwe fasta sana na quick thinking
Watu wengi huwa wanduwaa wasijue la kufanya.

Lakini kwakuwa wewe umeshajua la kufanya,basi unakuwa na kama advantage ya kujiokoa kwa kutumia hizo sekunde chache sana za critical impact
Na ukifanya ivo na ajali ikaepukika na dereva ujue kamba zitakuhusu na hospitali utaenda
 
Nakupongeza sana umejitahidi kuongea jambo zuri sana.
Lakini bahati mbaya ajali nyingi zaidi 95% ni sudden occasion ambapo huwez pata huo muda wa kurespond kwaajili ya kujikinga.
Sio kweli, ajali nyingi abiria huwa wanaziona kabla hazijatokea....ndomaana majeruhi wakihojiwa huwa wanasimulia ilikuwaje, utaskia "Dereva wetu alikuwa anaovertake akakutana na roli,akajaribu kulikwepa ila uskani ukamshinda na kukutana nalo uso kwa uso,"

Sasa kumbe abiria huwa wanajua ila hawajui nini wafanye.

Wewe ukiona dalili tu jifiiche uvunguni, hata isipotokea abiria wakakucheka, ni heri uchekwe kujikinga ajari isiyotokea kuliko kuliliwa ajari iliyokutokea.
 
Back
Top Bottom