Fanya haya endapo basi ulilomo ghafla linaanza kupinduka…

Fanya haya endapo basi ulilomo ghafla linaanza kupinduka…

Siku moja natoka kasulu nimo ndani ya bus (casablanca), asubuhi asubuhi tu ile tunavuka daraja la maragarasi... Mimi nilistuka gari limeegemea vyuma vya daraja linataka kudumbukia mtoni!! hakuna alistuka kabla labda waliokuwa mbele waliona!

Ilikuwa mwaka 2019/2020
 
Ulikuwa umekaa siti gani?
 
Mimi nilipona kwa mbinu hii,gari ilikuwa 90.
lbda ajali ikukute tu umesinzia au unachati....lakini mimi huwa na tabia mda wote macho yapo kodo kwa dereva na barabara na huwa nakaa siti za katikati ili nione vizuri
Hivi unaujua huo uvungu wa viti vya ma bus yetu ukubwa wake hadi uingize kichwa Cha Mtu mzima huko uvunguni!!??
 
Sio kweli, ajali nyingi abiria huwa wanaziona kabla hazijatokea....ndomaana majeruhi wakihojiwa huwa wanasimulia ilikuwaje, utaskia "Dereva wetu alikuwa....
Dawa ni kuhimiza kufunga mkanda na kuwa na speed ambazo ni reasonable

Madereva kuepuka vilevi na kujali maisha ya abiria

Madereva wa tz wao hujali pesa na muda hawajali maisha ila mbinu zako hazitekelezeki kwenye ajali
 
Hivi unaujua huo uvungu wa viti vya ma bus yetu ukubwa wake hadi uingize kichwa Cha Mtu mzima huko uvunguni!!??
Mabasi yanatofautiana...lakini kama uvungu hautoshi basi jikunje pale sehemu ya kuwekea miguu
 
Back
Top Bottom