Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jamaa, sijui kama ndio alikuwa macho zaidi ya wengine au la, maana basi lilipoanza kupata mushkeli, yeye pekee ndiye aliyechoropoka dirishani, bahati mbaya akaishia kulaliwa na basi na kupoteza maisha, hakuna mwingine yeyote aliyefariki.Ajali haina kinga.
Katika comments za maana ni pamoja na hii kuliko hata ushauri wa mtoa mada!Sijui kama umeishawahi kupata ajali kama hujawahi nikwambie TU kuwa walioko nje ndio hujua Nini kimetokea
Wewe akili itakurudia gari ikiwa imeshamaliza swala lake la kupinduka.
Muhimu funga mkanda Kisha muombe Mungu mfike salama
Sio kweli, ajali nyingi abiria huwa wanaziona kabla hazijatokea....ndomaana majeruhi wakihojiwa huwa wanasimulia ilikuwaje, utaskia "Dereva wetu alikuwa anaovertake akakutana na roli,akajaribu kulikwepa ila uskani ukamshinda na kukutana nalo uso kwa uso,"
Sasa kumbe abiria huwa wanajua ila hawajui nini wafanye.
Wewe ukiona dalili tu jifiiche uvunguni, hata isipotokea abiria wakakucheka, ni heri uchekwe kujikinga ajari isiyotokea kuliko kuliliwa ajari iliyokutokea.
"Unachotakiwa kufanya ni kuinama haraka sana na kuingia ndani ya uvungu wa siti,na kuhakikisha unakificha kichwa ndani ya siti", ushauri wako ni mzuri ila ni kwa mabasi ya zamani. Mabasi ya siku hizi hayana hiyo nafasi ya kuingia chini ya siti kwani kuna kikanyagio cha kuweka miguu na pi siti ziko chini sana kiasi hata begi hauwezi kuliingiza. Ushauri wangu ni funga mkanda wakati wote pia usinyooshe miguu chini ya siti iliyo mbele yako ili isivunjike pia usiweke mikono dirishani na inamisha kichwa kuelekea katikati ya basi na usithubutu kuinuka kutoka kwenye kiti ili uruke kama askari wa mwamvuli, wakati wote huo kaa kimya mtangulize Mungu wako; tutakutana aliko jiwe.Picture this🙌: Umekaa ndani ya basi liitwalo X, siti namba X ,unaenda mkoa X kumsalimia X.
Mara ghafla unashtuka basi ulilomo linaanza kuyumba yumba kwa nguvu isivo kawaida na abiria wale viherehere akina mama mostly wameshaanza kupiga kelele za mamaaaa! (statistically speaking women more alert and pay more attention to the small changes in the details of their environment,than males among homo sapens) nini unatakiwa ufanye? Twende kazi👇
NB: Hii njia inafanya kazi kama umekaa kweny siti za katikati, yani ambayo haiko karibu na ukuta wa gari.... sio dirishani wala siti za nyuma kabisa au mbele kwa dereva) maana hizi ndio sehemu ambazo haziwezi kupata direct impact ya ajari, either kwa kugongwa na kitu au kugonga kitu.
Unachotakiwa kufanya ni kuinama haraka sana na kuingia ndani ya uvungu wa siti,na kuhakikisha unakificha kichwa ndani ya siti. Stay low as possible, stay small as possible. Yani hakikisha unapunguza suface area ya mwili wako haraka sana ili kupunguza area ambayo inaweza kuwa hit. Na kupunguza damage.
This will ensure that kuna very small chance gari linapobinuka utaruka nalo na kujibonda kichwani au kwenye sehemu nyeti.
Asilimia kubwa ya majeruhi wa ajali wanaofariki huwa na majeraha ya kichwa.
Hivyo unatakiwa upambane as best as you can kukilinda kichwa chako.
Mimi sio Mungu kwahyo sikuambii kuwa njia hii ina uhakika wa kukufanya upone na kukiponyoka kifo lwa 100%, la hasha! Mimi nachokuambia hii ni njia best ya kukupunguzia probability (uwezekano) ya wewe kuwa mmoja wa marehemu watakaotangazwa kwenye habari kesho yake.
Mtegemee Mungu, sali sana, sali kila saa. Sali kabla hujapanda gari, sali ukishuka gari, sali unapoamka, sali kila unapotoka unapoishi, sali kila kabla na baada ya kumaliza majukumu yako ya siku hiyo, sali kabla ya kurudi nyumbabi, sali ukifika nyumbani, sali kabla ya kulala, sali usingizini.
Kila usqlipo Ombea kwenda jannah/mbinguni na msamaha wa dhambi zako.
Kwa maana kifo muda wote kipo around the corner kikigonga hodi ya kimya kimya, usipokiwahi na kukibania mlango, utakuja kushtukia kimeshakuvamia ndani kimeshakuingilia na hautakuwa na uweZo wa kujitetea.
Siku zote popote stay sharp, always stay alert kama wanawake na always pray.
Kifo always kipo kwa nyuma kunakuvizia...Usipende kukutana nacho maana hutakishinda nguvu, Always kikwepe kabisa na ikiwezekana jifiche kisikuone.
Always tazama macho mbele, usitingishike maana kwa nyuma kuna kifo kinasema Geuka tukuone.
👇
Usafiripo anza na kufikiria jinsi ya kujiokoa endapo ajali itatokea, hii inahusu moto au kupinduka. Uwapo ndani ya basi usipende kulala labda tu kama kondakta amekupa shuka, mto na mswaki, pia usikubali kukalia kigoda utakachopewa na kondakta, mwambie ampe dereva wake nawe akuletee kiti cha dereva. Kelele huleta vurumai ndani ya chombo na kuchochea kujeruhiana mkigombea dirisha.Nakupongeza sana umejitahidi kuongea jambo zuri sana.
Lakini bahati mbaya ajali nyingi zaidi 95% ni sudden occasion ambapo huwez pata huo muda wa kurespond kwaajili ya kujikinga.
na hili la ajari nalo ni Mungu??!Siku zote abiria wengi wanao kaa kati mara nyingi wao huwa ndiyo manusura wa ajali! Japokua inaweza tokea ki vingine,ya Mungu mengi uwezi jua!!!
Katika yote tumtegemee Mungu tu.Picture this[emoji119]: Umekaa ndani ya basi liitwalo X, siti namba X ,unaenda mkoa X kumsalimia X.
Mara ghafla unashtuka basi ulilomo linaanza kuyumba yumba kwa nguvu isivo kawaida na abiria wale viherehere akina mama mostly wameshaanza kupiga kelele za mamaaaa! (statistically speaking women more alert and pay more attention to the small changes in the details of their environment,than males among homo sapens) nini unatakiwa ufanye? Twende kazi[emoji116]
NB: Hii njia inafanya kazi kama umekaa kweny siti za katikati, yani ambayo haiko karibu na ukuta wa gari.... sio dirishani wala siti za nyuma kabisa au mbele kwa dereva) maana hizi ndio sehemu ambazo haziwezi kupata direct impact ya ajari, either kwa kugongwa na kitu au kugonga kitu.
Unachotakiwa kufanya ni kuinama haraka sana na kuingia ndani ya uvungu wa siti,na kuhakikisha unakificha kichwa ndani ya siti. Stay low as possible, stay small as possible. Yani hakikisha unapunguza suface area ya mwili wako haraka sana ili kupunguza area ambayo inaweza kuwa hit. Na kupunguza damage.
This will ensure that kuna very small chance gari linapobinuka utaruka nalo na kujibonda kichwani au kwenye sehemu nyeti.
Asilimia kubwa ya majeruhi wa ajali wanaofariki huwa na majeraha ya kichwa.
Hivyo unatakiwa upambane as best as you can kukilinda kichwa chako.
Mimi sio Mungu kwahyo sikuambii kuwa njia hii ina uhakika wa kukufanya upone na kukiponyoka kifo lwa 100%, la hasha! Mimi nachokuambia hii ni njia best ya kukupunguzia probability (uwezekano) ya wewe kuwa mmoja wa marehemu watakaotangazwa kwenye habari kesho yake.
Mtegemee Mungu, sali sana, sali kila saa. Sali kabla hujapanda gari, sali ukishuka gari, sali unapoamka, sali kila unapotoka unapoishi, sali kila kabla na baada ya kumaliza majukumu yako ya siku hiyo, sali kabla ya kurudi nyumbabi, sali ukifika nyumbani, sali kabla ya kulala, sali usingizini.
Kila usqlipo Ombea kwenda jannah/mbinguni na msamaha wa dhambi zako.
Kwa maana kifo muda wote kipo around the corner kikigonga hodi ya kimya kimya, usipokiwahi na kukibania mlango, utakuja kushtukia kimeshakuvamia ndani kimeshakuingilia na hautakuwa na uweZo wa kujitetea.
Siku zote popote stay sharp, always stay alert kama wanawake na always pray.
Kifo always kipo kwa nyuma kunakuvizia...Usipende kukutana nacho maana hutakishinda nguvu, Always kikwepe kabisa na ikiwezekana jifiche kisikuone.
Always tazama macho mbele, usitingishike maana kwa nyuma kuna kifo kinasema Geuka tukuone.
[emoji116]
Hii post itafanya kazi tu pale unapojua kiwa nni kitakwenda kutokea maana kuna wajuba huwa wana oteshwa kitakacho kwenda kutokea tofauti na hapo ajali haiepukiki cha msingi ni kuchukua tahadhari kwa kufunga mkandaPicture this🙌: Umekaa ndani ya basi liitwalo X, siti namba X ,unaenda mkoa X kumsalimia X.
Mara ghafla unashtuka basi ulilomo linaanza kuyumba yumba kwa nguvu isivo kawaida na abiria wale viherehere akina mama mostly wameshaanza kupiga kelele za mamaaaa! (statistically speaking women more alert and pay more attention to the small changes in the details of their environment,than males among homo sapens) nini unatakiwa ufanye? Twende kazi👇
NB: Hii njia inafanya kazi kama umekaa kweny siti za katikati, yani ambayo haiko karibu na ukuta wa gari.... sio dirishani wala siti za nyuma kabisa au mbele kwa dereva) maana hizi ndio sehemu ambazo haziwezi kupata direct impact ya ajari, either kwa kugongwa na kitu au kugonga kitu.
Unachotakiwa kufanya ni kuinama haraka sana na kuingia ndani ya uvungu wa siti,na kuhakikisha unakificha kichwa ndani ya siti. Stay low as possible, stay small as possible. Yani hakikisha unapunguza suface area ya mwili wako haraka sana ili kupunguza area ambayo inaweza kuwa hit. Na kupunguza damage.
This will ensure that kuna very small chance gari linapobinuka utaruka nalo na kujibonda kichwani au kwenye sehemu nyeti.
Asilimia kubwa ya majeruhi wa ajali wanaofariki huwa na majeraha ya kichwa.
Hivyo unatakiwa upambane as best as you can kukilinda kichwa chako.
Mimi sio Mungu kwahyo sikuambii kuwa njia hii ina uhakika wa kukufanya upone na kukiponyoka kifo lwa 100%, la hasha! Mimi nachokuambia hii ni njia best ya kukupunguzia probability (uwezekano) ya wewe kuwa mmoja wa marehemu watakaotangazwa kwenye habari kesho yake.
Mtegemee Mungu, sali sana, sali kila saa. Sali kabla hujapanda gari, sali ukishuka gari, sali unapoamka, sali kila unapotoka unapoishi, sali kila kabla na baada ya kumaliza majukumu yako ya siku hiyo, sali kabla ya kurudi nyumbabi, sali ukifika nyumbani, sali kabla ya kulala, sali usingizini.
Kila usqlipo Ombea kwenda jannah/mbinguni na msamaha wa dhambi zako.
Kwa maana kifo muda wote kipo around the corner kikigonga hodi ya kimya kimya, usipokiwahi na kukibania mlango, utakuja kushtukia kimeshakuvamia ndani kimeshakuingilia na hautakuwa na uweZo wa kujitetea.
Siku zote popote stay sharp, always stay alert kama wanawake na always pray.
Kifo always kipo kwa nyuma kunakuvizia...Usipende kukutana nacho maana hutakishinda nguvu, Always kikwepe kabisa na ikiwezekana jifiche kisikuone.
Always tazama macho mbele, usitingishike maana kwa nyuma kuna kifo kinasema Geuka tukuone.
👇
Mimi nilipona kwa mbinu hii,gari ilikuwa 90.
lbda ajali ikukute tu umesinzia au unachati....lakini mimi huwa na tabia mda wote macho yapo kodo kwa dereva na barabara na huwa nakaa siti za katikati ili nione vizuri
Umesema vyemaNi mijinga kwanza vile viti huwezi ingia chini yake, pia kwa rollover ya basi atajikuta hana kiuno.
Seat belt ndo pekee inaweza kuokoa
Mtoa mada akisoma Physics ya Form 1 tu anakutana na hilo swala.Umesema vyema
Aingie tu hapo youtube ajionee hizo video ndio ataamani mkanda pekee ndio usalama wakati wa ajaliMtoa mada akisoma Physics ya Form 1 tu anakutana na hilo swala.
Na video kibao zipo mtandaoni zikionesha ajali zilizotokea na jinsi watu ambao hawakufunga mkanda walikandwa