Fanya haya ili udumu na mkeo

Fanya haya ili udumu na mkeo

Lakini maneno yanasomeka.
Walioweka sheria na kanuni kwenye kuandika, na ambazo tunaenda shule ili kuzizingatia walikuwa wajinga? Hili la kusema ''lakini yanasomeka'' ni sababu ya kijinga kabisa ya kujitetea. Huwezi kukaa darasani miaka zaidi ya saba halafu unamaliza hujui tofauti kati ya L na R
 
Maelezo mareefu sana! Kikubwa hakikisha tu anakupenda sanaa basi,,, mengine yatajiseti yenywe
 
Sawa hongera kwa kuandika sana.

Back
Top Bottom