Fanya haya ili uwe mtu katili zaidi.

CWR2016

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
2,773
Reaction score
6,349
Habari wana JF,

Ukifanya haya tena ukiweza labda yote basi utafanikiwa kuwa katili zaidi hadi ibilisi atakushangaa..

1. Usihudhurie misiba kuwapa watu pole.
2. Watu wakipatwa na majanga usiende kuwafariji.
3. Ikitokea umeenda, usiende kwa wkt na ukifika wafokee sana, wakate maini kabisa.
4. Usiwape chakula wenye njaa tena waambie "wafe tu"
5. Samehe jinai
6. Shitaki wanaolalamika eti maisha magumu
7. Okota vitu vya watu kama hela, magari n.k. halafu jigawie...waache walie

Mengine ongezea mwana JF..

ONYO: Ukatili ni kitu kibaya sana.
 
BASHITE anahusika Na namba Saba. BASHITE ndiye anamfanya Fid Q Aishi kwenye lile pango la wanyang'anyi. BASHITE Na kujifanya mlokole sana, ni mshirikina Na kugagula namba moja. Uchawi wote wa Fid Q na roho mbaya yake umeletwa kwa hisani ya BASHITE
 
Fid Q ni "Msanii" Wa "Kufoka foka".. mzee kwenye fasihi uko vzr..hakika hufikiri kwa kutumia kina cha chini cha utumbo mpana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…