Habari wana JF,
Ukifanya haya tena ukiweza labda yote basi utafanikiwa kuwa katili zaidi hadi ibilisi atakushangaa..
1. Usihudhurie misiba kuwapa watu pole.
2. Watu wakipatwa na majanga usiende kuwafariji.
3. Ikitokea umeenda, usiende kwa wkt na ukifika wafokee sana, wakate maini kabisa.
4. Usiwape chakula wenye njaa tena waambie "wafe tu"
5. Samehe jinai
6. Shitaki wanaolalamika eti maisha magumu
7. Okota vitu vya watu kama hela, magari n.k. halafu jigawie...waache walie
Mengine ongezea mwana JF..
ONYO: Ukatili ni kitu kibaya sana.