Chukua dawa hiyo ukasafishe kwanza meno ndio ujeAma sindio
Watoto wa 2000 wapo vzr sana wengi wameumbwa wakaumbikaBonge kwa nyuma!š
Kuna watu Mungu aliwapatia kuwaumba
Toka hapaChukua dawa hiyo ukasafishe kwanza meno ndio uje
Sio wotešWatoto wa 2000 wapo vzr sana wengi wameumbwa wakaumbika
Si ndiyoš¤£š¤£š¤£Tumezipuuza manake tunajua kabisa meno yenu yanang'aa, mki-smile sisi huku hoiš¤Ŗ
Ephen wa jf; bonge flan hv tumbo tani tatu t*k* noSio woteš
Dah! Umeniacha hoi ulivyomtaja kipenzi chako aaliyahšEphen wa jf; bonge flan hv tumbo tani tatu t*k* no
Ephen offline; tumbo Yammy hips mobeto tabasamu lulu lips aaliyah
Mi mpiga makelele tušwalaji halisi wanapita kimya kimya no likes no comments no quotes ni mwendo wa Pm kibunda kinawekwa logistics zinafanyika wanaenda kubomoana Serengeti hukooo mbuganiDah! Umeniacha hoi ulivyomtaja kipenzi chako aaliyahš
Ila mtoto anakuelewa! Kusoma hujui hata picha huoni?Mi mpiga makelele tušwalaji halisi wanapita kimya kimya no likes no comments no quotes ni mwendo wa Pm kibunda kinawekwa logistics zinafanyika wanaenda kubomoana Serengeti hukooo mbugani
Nacheka lkn naogopaIla mtoto anakuelewa! Kusoma hujui hata picha huoni?
Ebu fanya mambo usikae kizembešNacheka lkn naogopa
Saiv Aaliyyah anasoma Kimya Kimya anachekaEbu fanya mambo usikae kizembeš
Mbona huo mchanganyiko ni suluhu ya kuondoa magaga miguuni unataka kutuua au?Chukuaa nyanya 3 zilizoiiva kabisa. Menya maganda. Ponda ponda zote.
Chukua limao changanya kamulia mawili humo ndani. Chukua dawa ya mswaki vijiko vitatu mimina huko ndani mix kwa pamoja.
Tumia asubuhi na jion siku 5 angalia matokeo.
Niko pale kwa Masawe.
Nasubiri mrejesho.
mzee EPHEN hajambo?Wenye meno ya Chocolate mnaitwa
Kwani wee janaa,kuna mnyama wa madoa doa mwenye njaa ama.unahisi simu yakoo inarekodiwa na mth na huna amani mfyokoe na hii code
##002#
piga huyo sio wako tena