MWANAMBOKA1
Member
- Sep 9, 2022
- 21
- 37
Sawa kiongoziJali mwili wako, mwili wako ndipo mahali pekee unapoishi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kiongoziJali mwili wako, mwili wako ndipo mahali pekee unapoishi.
Sawa kiongoziJali mwili wako, mwili wako ndipo mahali pekee unapoishi.
Uzi huu umefungwa baada ya hii commentsTafuta pesa tu, ukiwa na pesa utazeeka vizuri
Asànte, nipe mbinu ili nisifoke foke kama dudu bayaMaisha ni maamuzi na uchaguzi. Ukiona kuuza viatu na kugombana na watu kwa ukondakta hadi unakufa ndio kunakufaa uko sahihi. Ukifika sehemu ukasema sitaki ngoja niexplore mawimbi mengine ya maisha ambayo yataniletea amani shangwe uzima mrefu na vicheko pia utapata.
Hakuna aliyeandikiwa. Ni kuchagua. Hata haya maoni ni uchaguzi. Ila kumbuka pia wazee wengi wa kiafrika sio matajiri lakini kwa vidogo walivykuwa navyo waliishi maisha bora waliyoyachagua.
Kipindi Fulani nikiwa kijijini kwetu kule, wazee walikua wanapenda sana kupngea au kupiga hadithi na vijana kuliko wazee wenzao, hii niliona kama inampa Mzee refresh kwa sababu kwa kijina anakua anamuhadithia zamani zao kuliko mzee mwenzake anakua hana kipya Cha kumuhadithia.Kupiga story napiga nao sana don't get me wrong
Ila ule mda wa kukaa nao masaa ndio sina kwa sababu baadhi wamestaafu na wengine bado wana biashara zao wanazosimamia kwa juu, na hao ndio huwa jioni jioni tunakutana na kuongea au kuzunguka once in a week
Wazee na vijjana ni tofauti sana, utakuja kukumbuka hili
Kufa sio ishu. Suala ni unakufaje na kwa wakati gani?Utafanya hayo yote, ila mwisho wa siku kifo kiko palepale.
Hii ya kujiua prematurely inafanyika Sana bila watu kujua,ukitaka kujua Hilo tembelea club za usiku,angalia vijana wenye pesa wanavyoji spoil,angalia mtaani vijana wanavyokunywa smart Gin,na huku kula na shibe Yao ya mazabe.Angalia baadhi ya walioukwaa ukwasi kwenye uongozi na biashara walivyo wazinzi,vimada Kila kata na mtaa.Kwa kweli watu wanajiua Sana kwa mambo mengi mno.Kuna mtu mmoja
Kufa sio ishu. Suala ni unakufaje na kwa wakati gani?
Hii inahitaji kujitafakari kidogo. Huwezi kuishi carelessly kwa sababu kila mtu atakufa. Siku ya mwisho unawexa kuhukumiwa kwa kosa la kujiua. Unaweza kudhani umekufa kumbe umejiua prematurely.
Hilo ni kweli kabisaKipindi Fulani nikiwa kijijini kwetu kule, wazee walikua wanapenda sana kupngea au kupiga hadithi na vijana kuliko wazee wenzao, hii niliona kama inampa Mzee refresh kwa sababu kwa kijina anakua anamuhadithia zamani zao kuliko mzee mwenzake anakua hana kipya Cha kumuhadithia.
Naam, kuongea na kijana Mzee anajifunza vingi vilivyopo ujanani Leo, pia kuongea na Mzee kijana anajifunza vingi vya Jana .Hilo ni kweli kabisa
We unafikiri bila kuongea na wajukuu hii simu ningetumia kama ilivyo?
Vijana ndio wanajua mengi kuliko wazee maana ni wadadisi zaidi na mbinu zote na yanayojiri wanayajua ila sio unoko [emoji1] [emoji1787]
Sisi tunawarekebisha pindi mnapokosea katika maisha au kuwafundisha maana tumeona mengi zaidi yaoNaam, kuongea na kijana Mzee anajifunza vingi vilivyopo ujanani Leo, pia kuongea na Mzee kijana anajifunza vingi vya Jana .