Fanya haya mambo 5 ili uzeeke kijana

Asànte, nipe mbinu ili nisifoke foke kama dudu baya
 
Kipindi Fulani nikiwa kijijini kwetu kule, wazee walikua wanapenda sana kupngea au kupiga hadithi na vijana kuliko wazee wenzao, hii niliona kama inampa Mzee refresh kwa sababu kwa kijina anakua anamuhadithia zamani zao kuliko mzee mwenzake anakua hana kipya Cha kumuhadithia.
 
Kuna mtu mmoja
Utafanya hayo yote, ila mwisho wa siku kifo kiko palepale.
Kufa sio ishu. Suala ni unakufaje na kwa wakati gani?
Hii inahitaji kujitafakari kidogo. Huwezi kuishi carelessly kwa sababu kila mtu atakufa. Siku ya mwisho unawexa kuhukumiwa kwa kosa la kujiua. Unaweza kudhani umekufa kumbe umejiua prematurely.
 
Hii ya kujiua prematurely inafanyika Sana bila watu kujua,ukitaka kujua Hilo tembelea club za usiku,angalia vijana wenye pesa wanavyoji spoil,angalia mtaani vijana wanavyokunywa smart Gin,na huku kula na shibe Yao ya mazabe.Angalia baadhi ya walioukwaa ukwasi kwenye uongozi na biashara walivyo wazinzi,vimada Kila kata na mtaa.Kwa kweli watu wanajiua Sana kwa mambo mengi mno.
 
Hilo ni kweli kabisa
We unafikiri bila kuongea na wajukuu hii simu ningetumia kama ilivyo?

Vijana ndio wanajua mengi kuliko wazee maana ni wadadisi zaidi na mbinu zote na yanayojiri wanayajua ila sio unoko 😄 🤣
 
Hilo ni kweli kabisa
We unafikiri bila kuongea na wajukuu hii simu ningetumia kama ilivyo?

Vijana ndio wanajua mengi kuliko wazee maana ni wadadisi zaidi na mbinu zote na yanayojiri wanayajua ila sio unoko [emoji1] [emoji1787]
Naam, kuongea na kijana Mzee anajifunza vingi vilivyopo ujanani Leo, pia kuongea na Mzee kijana anajifunza vingi vya Jana .
 
Naam, kuongea na kijana Mzee anajifunza vingi vilivyopo ujanani Leo, pia kuongea na Mzee kijana anajifunza vingi vya Jana .
Sisi tunawarekebisha pindi mnapokosea katika maisha au kuwafundisha maana tumeona mengi zaidi yao
Ila wao wanatupa mawili matatu yanayoendelea mitaani kama uwekezaji na biashara zaidi

Wengine tumekulia kwenye biashara kwa hiyo ni lazima tuangalie fursa toka kwa vijana wanaojitahidi au kufanya biashara
 
Nataka ku experience state ya kuwa Mzee,Sasa Kwa Nini nizeeke kijana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…