Fanya haya ukiwa ugenini.

Fanya haya ukiwa ugenini.

Huo utani mkuu maana kuna cku tulienda mwanza kuna Kazi tulienda Fanya sehemu za igegemaja magu huko tulikua 6 ,bas mda wa lunch tukaletewa wali sato sinia mlima tukajitaidi mpk tukaona picha ya ndege tausi kwenye sinia kisha tukashushia soda kutahamaki sinia jingine linaletwa la viazi wenyeji wanaita manumbu aisee tulibaki tunatizamana na kuhema juu juu km vyura majini,so sio kila unachotengewa ugenini unaweza ligi nacho unaweza chekesha walionuna!
 
Ukiwa ugenini kamwe usithubutu kubakisha chakula hata kama ni kingi kiasi gani ,,ukibakisha utamsononesha mpishi atajiona hajui kupika.

Pia usiagize maji ya dukani,kunywa yale yale utakayopewa,ukikataa watahisi umewadharau .
Ila ugenini kwenyewe kusiwe Nigeria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom