Fanya Hivi Kama Umejitahidi Kumvutia Mwanamke Wako Lakini Bado Haoneshi Kujali

Infinite_Kiumeni

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2023
Posts
382
Reaction score
687
Inawezekana mmekua pamoja kwa miaka sasa.
Au pengine ndo mna miezi kadhaa kwenye mapenzi.
Lakini hivi karibuni anaonesha hana hamu na wewe kivile. Mapenzi yamepungua. Shauku yake ya kuwa na wewe unaona imepungua.
Kadri unavyoona hisia zake zinapungua, wewe ndo unazidi kuongeza nguvu ili awe nawe usije ukampoteza.
Kisha anakuahidi ataanza kukuonesha anajali lakini bado hafanyi anachosema. Jambo linalokufanya ukasirike/ uumie zaidi/ uhisi anakusaliti.
Hadi unajikuta unamlalamikia na unamlazimisha awe vile alivyokua zamani.

Unamwambia ‘nakupenda’ hata zaidi ya mara tatu, lakini yeye anakuambia mara moja tu. Kikawaida hutakiwi kumwambia mwanamke unampenda zaidi ya yeye anavyokuambia.
.
Lakini hayo yote ni suala la mvuto.
Kwamba mwanamke unayemtaka havutiwi na wewe kama vile wewe unavyovutiwa naye. Hajisikii kama unavyojisikia.
Kuna utofauti jinsi mwanamke na mwanaume anavyovutiwa na mwenzake. Mwanamke anavutiwa na mtu mwenye ujasiri, anayemwelewa na ambaye atakua haendeshwi na vitendo vya mwanamke.

Kwa mwanamke kadri unavyomlazimisha au kumlalamikia kuwa amepunguza upendo, ndivyo unavyozidi kumfanya upendo wake upungue zaidi. Mwanamke anaona ana uwezo wa kukuendesha, anaona amekuweka kiganjani. Hivyo anaona hana haja ya kupambania penzi wala kukujali.
.
Cha kufanya.
Kwa kuwa ulishahangaika kuokoa penzi lakini bado unaona hakuna matunda.

Anza kufanya vile naye anavyofanya.
Mwangalie vitendo vyake ili kujua anavutiwa nawe kiasi gani.
Usiangalie maneno yake wala sababu zake.
Kama anakutafuta mara moja kwa wiki, na wewe punguza kumtafuta.

Kama anakupotezea nawe pia mpotezee.
Kama anakutumia sms za mkato we hauna haja ya kutuma insha/ riwaya kumjibu. Nawe mtumie sms kidogo. Kuna makosa ya kutokufanya kwenye sms kama mwanaume, ikiwemo usitume sms kubwa/ nyingi kuliko mwanamke wakati unataka kumvutia. Ataona una hamu naye sana.
Mpotezee ili umpe muda wa kukumisi na kukukumbuka badala ya kulazimisha.
Jitahidi umpe muda ili naye aanze kulijali pendo.

Muhimu usimfanye mwanamke kama vile ndo kila kitu kwako kwamba bila yeye huna furaha sana. Au yeye ndo chanzo cha furaha yako. Au bila yeye hujui utaishije. Au kumfanya ahisi unampenda kuliko yeye anavyokupenda. Hapana. Bali mchukulie mwanamke kama sehemu ya maisha yako.
Mwanamke anapenda pale anapoona anakupenda zaidi kidogo ya wewe unavyompenda.
 
Tafuta hela kijana mengine pumba tu.
 
Uzi ulibidi uwe na sentensi moja tu "tafuta hela"
 
Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzie..
Kama yeye hajisikii si unadaka mzigo mwingine?!

Pia ukimiliki mpunga wa maana inasaidia. Kuzungushwa hakuna, hata mwenye mtu wake atakupanga kuwa yupo singo 😁
 
Upendo haushawishiwi na chochote mkuu una kuja tu wenyewe , labda uwape watu mbinu mpya za kula mbususu tu master.
 
Mwanaume Usibembeleze sana na kulialia hovyo kwa mwanamke utashusha brand
 
Inawezekana mmekua pamoja kwa miaka sasa.
Au pengine ndo mna miezi kadhaa kwenye mapenzi.
Lakini hivi karibuni anaonesha hana hamu na wewe kivile. Mapenzi yamepungua. Shauku yake ya kuwa na wewe unaona imepungua.
Kadri unavyoona hisia zake zinapungua, wewe ndo unazidi kuongeza nguvu ili awe nawe usije ukampoteza.
Kisha anakuahidi ataanza kukuonesha anajali lakini bado hafanyi anachosema. Jambo linalokufanya ukasirike/ uumie zaidi/ uhisi anakusaliti.
Hadi unajikuta unamlalamikia na unamlazimisha awe vile alivyokua zamani.

Unamwambia ‘nakupenda’ hata zaidi ya mara tatu, lakini yeye anakuambia mara moja tu. Kikawaida hutakiwi kumwambia mwanamke unampenda zaidi ya yeye anavyokuambia.
.
Lakini hayo yote ni suala la mvuto.
Kwamba mwanamke unayemtaka havutiwi na wewe kama vile wewe unavyovutiwa naye. Hajisikii kama unavyojisikia.
Kuna utofauti jinsi mwanamke na mwanaume anavyovutiwa na mwenzake. Mwanamke anavutiwa na mtu mwenye ujasiri, anayemwelewa na ambaye atakua haendeshwi na vitendo vya mwanamke.

Kwa mwanamke kadri unavyomlazimisha au kumlalamikia kuwa amepunguza upendo, ndivyo unavyozidi kumfanya upendo wake upungue zaidi. Mwanamke anaona ana uwezo wa kukuendesha, anaona amekuweka kiganjani. Hivyo anaona hana haja ya kupambania penzi wala kukujali.
.
Cha kufanya.
Kwa kuwa ulishahangaika kuokoa penzi lakini bado unaona hakuna matunda.

Anza kufanya vile naye anavyofanya.
Mwangalie vitendo vyake ili kujua anavutiwa nawe kiasi gani.
Usiangalie maneno yake wala sababu zake.
Kama anakutafuta mara moja kwa wiki, na wewe punguza kumtafuta.

Kama anakupotezea nawe pia mpotezee.
Kama anakutumia sms za mkato we hauna haja ya kutuma insha/ riwaya kumjibu. Nawe mtumie sms kidogo. Kuna makosa ya kutokufanya kwenye sms kama mwanaume, ikiwemo usitume sms kubwa/ nyingi kuliko mwanamke wakati unataka kumvutia. Ataona una hamu naye sana.
Mpotezee ili umpe muda wa kukumisi na kukukumbuka badala ya kulazimisha.
Jitahidi umpe muda ili naye aanze kulijali pendo.

Muhimu usimfanye mwanamke kama vile ndo kila kitu kwako kwamba bila yeye huna furaha sana. Au yeye ndo chanzo cha furaha yako. Au bila yeye hujui utaishije. Au kumfanya ahisi unampenda kuliko yeye anavyokupenda. Hapana. Bali mchukulie mwanamke kama sehemu ya maisha yako.
Mwanamke anapenda pale anapoona anakupenda zaidi kidogo ya wewe unavyompenda.
Hiyo aya ya mwisho upo sahihi sana, huko juu umeandika takataka.
 
Back
Top Bottom