Mimi nilitumia huo mfumo kubadilisha cheti cha zamani kupata kipya. Nililipa tsh 6000 tu. Sijui kama sasa gharama ni hiyo hiyo au imepanda.๐๐๐๐๐ Sio wote watakao weza kaka utaendelea kula TU pesa ๐๐ usijal

Watajuaje hizo taarifa unazoandika upya ni sawa na za kwenye cheti cha zamani?Huna haja ya kukipoteza wewe fanya kubadili kutoka old to new wala hawana shida maana wanachukulia labda kimeharibika ama kuingia maji nakadhalika
Mimi nilipata cha mwanangu ambacho nilibadili old to new ndani ya siku 3 pekee.
Taarifa zinginezo kuhusu nida yako unayo yani majina kamili pamoja na Namba uliyosajilia nidaNaomba kujua na nida napataje kama nimepoteza
Cheti kinachotolewa hospitali kina taarifa zote za mtoto na wazazi.Watajuaje hizo taarifa unazoandika upya ni sawa na za kwenye cheti cha zamani?
Ndio ninazo mkuuTaarifa zinginezo kuhusu nida yako unayo yani majina kamili pamoja na Namba uliyosajilia nida
Mkuu msaada. Nimeshindwa kuomba Cheti cha kuzaliwa cha mtoto wangu chini ya miaka mitano.
Je ulikua unasumbuka kutafuta Cheti cha kuzaliwa ? Hivi unajua nchini Tanzania unaweza kupata Cheti chako cha kuzaliwa kupitia simu yako bila kwenda kwenye kituo cha kutolea hiyo huduma.
Kwanza inabidi utambua Kuwa E - RITA , ni mfumo wa kidigitali unaokuwezesha kutuma maombi ya huduma ya vizazi kwa njia ya kidigitali popote ulipo Tanzania. Hiki ni chombo cha Serikali kinachojihusisha na masuala yote ya huduma ya vifo na vizazi.
Sasa leo nakuambia njia rahisi ya kuweza kupata Cheti cha kuzaliwa kupitia simu yako โ
โก Ingia kwenye tovuti hii www.rita.go.tz
โก Chagua E Rita Kisha chagua huduma za mtandao Kisha utachagua usajili wa Cheti cha kuzaliwa.
โก Kama huna Akaunti inabidi ujiandikishe kupitia email na Namba yako ya Simu.
hatua ya pili ni kujaza fomu ambapo baada ya kuingia kwenye Akaunti yako Sasa chagua birth certificate . Inabidi ujaze fomu Kwa taarifa zako kamili kuanzia majina yako kamili , tarehe na mahali ulipozaliwa na majina ya wazazi wako.
Utaweza kuambatanisha vitu muhimu kama vile Namba yako ya Nida, Malipo ambapo utalipia gharama utaweza kulipia benki au mitandao ya simu ndani ya wiki mbili TU utaweza kupata Cheti chako.
Kwa msaada zaidi wapigie +255 22 221 2820 au email Yao
[email protected] unakuwaje mtanzania huna Cheti cha kuzaliwa ๐.
Najuaje kupitia account yangu kuwa cheti changu kiko tayar?? Au ntapata notification ganSasa hivi wanajitahidi,cheti kinakuwa tayari ndani ya masaa 24 kama nyaraka hazina mashaka
Mkuu achana na identification,we nenda kwenye ombi jipya..utaskip hyo identification.Mkuu msaada. Nimeshindwa kuomba Cheti cha kuzaliwa cha mtoto wangu chini ya miaka mitano.
Mfumo unataka NI select identification. Je Kwa mtoto kama wangu ambaye ana Cheti cha hospitali Tu, nachagua nini?.
Nimechagua Birth Certiticate Number
mfumo unataka niweke PIN harafu ni verify. Je PIN naipata wapi?.
Jamii Forums Kuna waungwana sana....nilikuwa nafikiri huku chini utatoa no zako za siku! Ahsante sana umesaidiq wengine!
Je ulikua unasumbuka kutafuta Cheti cha kuzaliwa ? Hivi unajua nchini Tanzania unaweza kupata Cheti chako cha kuzaliwa kupitia simu yako bila kwenda kwenye kituo cha kutolea hiyo huduma.
Kwanza inabidi utambua Kuwa E - RITA , ni mfumo wa kidigitali unaokuwezesha kutuma maombi ya huduma ya vizazi kwa njia ya kidigitali popote ulipo Tanzania. Hiki ni chombo cha Serikali kinachojihusisha na masuala yote ya huduma ya vifo na vizazi.
Sasa leo nakuambia njia rahisi ya kuweza kupata Cheti cha kuzaliwa kupitia simu yako โ
โก Ingia kwenye tovuti hii www.rita.go.tz
โก Chagua E Rita Kisha chagua huduma za mtandao Kisha utachagua usajili wa Cheti cha kuzaliwa.
โก Kama huna Akaunti inabidi ujiandikishe kupitia email na Namba yako ya Simu.
hatua ya pili ni kujaza fomu ambapo baada ya kuingia kwenye Akaunti yako Sasa chagua birth certificate . Inabidi ujaze fomu Kwa taarifa zako kamili kuanzia majina yako kamili , tarehe na mahali ulipozaliwa na majina ya wazazi wako.
Utaweza kuambatanisha vitu muhimu kama vile Namba yako ya Nida, Malipo ambapo utalipia gharama utaweza kulipia benki au mitandao ya simu ndani ya wiki mbili TU utaweza kupata Cheti chako.
Kwa msaada zaidi wapigie +255 22 221 2820 au email Yao
[email protected] unakuwaje mtanzania huna Cheti cha kuzaliwa ๐.
Shukrani mkuu. nimefanikiwa.Mkuu achana na identification,we nenda kwenye ombi jipya..utaskip hyo identification.
Naomba kuuliza Njia salama na uhakika ya kufanya malipo baada kupewa Control number.Mkuu achana na identification,we nenda kwenye ombi jipya..utaskip hyo identification.
Unazingua weweHivi vyeti wanavyotoa siku hizi hospital vya kujazwa kwa mkono mtu unaweza badili kupata ile design ya zamani?
Yaan namaanisha hivi vya rangi,
Yani kwa kweli sijawai kukipenda cheti cha mwanangu, aliyejaza ana limwandiko libayaaaa ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ซ
Miherufi mikubwa imekaa ovyoovyo,
Natamani kubadili hata kama nitalipia, maana hiki in vile unapewa bure unapoanza kliniki
Najua kuna watakaoshangaa na kuona kuwa cheti ni karatasi tu, ila wallaih jamani huu mwandiko hapana, hata wewe ungepata hasira
Mi pia nilifanya kupitia bank ya NMB mkuu..ilienda tu vizuriNaomba kuuliza Njia salama na uhakika ya kufanya malipo baada kupewa Control number.
Nimefanya malipo tarehe 27 Saa tano asubuhi kutoka account yangu ya bank kwenda kwenye control number lakini siku nzima imepita kila niki confirm payment kwenye mfumo naambiwa payment not received. Bank wao walinijibu Kwa wakati Kuwa malipo yangu yamekamilika kwenda Rita. Leo ni siku nyingine lakini bado naambiwa payment not received.
Ngoja niwe mvumilivu.Mi pia nilifanya kupitia bank ya NMB mkuu..ilienda tu vizuri
Kirahiisi hivyo!! Kwahiyo tuseme vishoka bai bai kwasasa???
Je ulikua unasumbuka kutafuta Cheti cha kuzaliwa ? Hivi unajua nchini Tanzania unaweza kupata Cheti chako cha kuzaliwa kupitia simu yako bila kwenda kwenye kituo cha kutolea hiyo huduma.
Kwanza inabidi utambua Kuwa E - RITA , ni mfumo wa kidigitali unaokuwezesha kutuma maombi ya huduma ya vizazi kwa njia ya kidigitali popote ulipo Tanzania. Hiki ni chombo cha Serikali kinachojihusisha na masuala yote ya huduma ya vifo na vizazi.
Sasa leo nakuambia njia rahisi ya kuweza kupata Cheti cha kuzaliwa kupitia simu yako โ
โก Ingia kwenye tovuti hii www.rita.go.tz
โก Chagua E Rita Kisha chagua huduma za mtandao Kisha utachagua usajili wa Cheti cha kuzaliwa.
โก Kama huna Akaunti inabidi ujiandikishe kupitia email na Namba yako ya Simu.
hatua ya pili ni kujaza fomu ambapo baada ya kuingia kwenye Akaunti yako Sasa chagua birth certificate . Inabidi ujaze fomu Kwa taarifa zako kamili kuanzia majina yako kamili , tarehe na mahali ulipozaliwa na majina ya wazazi wako.
Utaweza kuambatanisha vitu muhimu kama vile Namba yako ya Nida, Malipo ambapo utalipia gharama utaweza kulipia benki au mitandao ya simu ndani ya wiki mbili TU utaweza kupata Cheti chako.
Kwa msaada zaidi wapigie +255 22 221 2820 au email Yao
[email protected] unakuwaje mtanzania huna Cheti cha kuzaliwa ๐.
Hujaweka mawasiliano yako bossBlaza unataka tukale wapi sisi wa steshenari?...
Kwa anaehitaji cheti Cha kuzaliwa mahali popote pale nione inbox
Mahitaji unayotakiwa Kama ni Cha mtoto wako..
1. Kadi lake la kliniki
2. Leaving certificate (Kama amemaliza kidato Cha nne
3. Kitambulisho chako mzazi(baba/mama) Cha mpiga au nida
4. Kitambulisho Cha mumeo au mkeo Cha mpiga kula au nida...
Hapo utasubiri tu siku nikupigie simu ukachukue hicho cheti ofisi za Rita karibu na wewe..
Gharama ni 25000/=
Elfu 20000 hii ntakutumia control number ulipe mwenyew ulipo..
Elfu 5000/= utantumia Mimi ...