Fanya hivi kupata Cheti cha Kuzaliwa kwa njia ya mtandao

Fanya hivi kupata Cheti cha Kuzaliwa kwa njia ya mtandao

Habar ndugu zangu, nilikuwa matings account ya E Rita lakini inashindikana, nikicomfirm passwords baadae inaniambia wrong credentials
 

Je ulikua unasumbuka kutafuta Cheti cha kuzaliwa ? Hivi unajua nchini Tanzania unaweza kupata Cheti chako cha kuzaliwa kupitia simu yako bila kwenda kwenye kituo cha kutolea hiyo huduma.

Kwanza inabidi utambua Kuwa E - RITA , ni mfumo wa kidigitali unaokuwezesha kutuma maombi ya huduma ya vizazi kwa njia ya kidigitali popote ulipo Tanzania. Hiki ni chombo cha Serikali kinachojihusisha na masuala yote ya huduma ya vifo na vizazi.



Sasa leo nakuambia njia rahisi ya kuweza kupata Cheti cha kuzaliwa kupitia simu yako ✋
⚡ Ingia kwenye tovuti hii www.rita.go.tz
⚡ Chagua E Rita Kisha chagua huduma za mtandao Kisha utachagua usajili wa Cheti cha kuzaliwa.
⚡ Kama huna Akaunti inabidi ujiandikishe kupitia email na Namba yako ya Simu.


hatua ya pili ni kujaza fomu ambapo baada ya kuingia kwenye Akaunti yako Sasa chagua birth certificate . Inabidi ujaze fomu Kwa taarifa zako kamili kuanzia majina yako kamili , tarehe na mahali ulipozaliwa na majina ya wazazi wako.


Utaweza kuambatanisha vitu muhimu kama vile Namba yako ya Nida, Malipo ambapo utalipia gharama utaweza kulipia benki au
Utapeli wa dola mwisho ni Chumve
Screenshot_20250917_205953_Chrome.jpg
 
Blaza unataka tukale wapi sisi wa steshenari?...
Kwa anaehitaji cheti Cha kuzaliwa mahali popote pale nione inbox
Mahitaji unayotakiwa Kama ni Cha mtoto wako..

1. Kadi lake la kliniki
2. Leaving certificate (Kama amemaliza kidato Cha nne
3. Kitambulisho chako mzazi(baba/mama) Cha mpiga au nida
4. Kitambulisho Cha mumeo au mkeo Cha mpiga kula au nida...

Hapo utasubiri tu siku nikupigie simu ukachukue hicho cheti ofisi za Rita karibu na wewe..
Gharama ni 25000/=
Elfu 20000 hii ntakutumia control number ulipe mwenyew ulipo..
Elfu 5000/= utantumia Mimi ...
Mpaka hapo umeshapoteza sifa ya kufanya kazi ya stationery
 
Hivi, naomba anaejua anielekeze.
Kuombea mtu mzima cheti cha kuzaliwa inakuwaje! Na inakuwaje mbona hakuna pa kuweka no ya NIDA ya wazazi au informant!
 
Blaza unataka tukale wapi sisi wa steshenari?...
Kwa anaehitaji cheti Cha kuzaliwa mahali popote pale nione inbox
Mahitaji unayotakiwa Kama ni Cha mtoto wako..

1. Kadi lake la kliniki
2. Leaving certificate (Kama amemaliza kidato Cha nne
3. Kitambulisho chako mzazi(baba/mama) Cha mpiga au nida
4. Kitambulisho Cha mumeo au mkeo Cha mpiga kula au nida...

Hapo utasubiri tu siku nikupigie simu ukachukue hicho cheti ofisi za Rita karibu na wewe..
Gharama ni 25000/=
Elfu 20000 hii ntakutumia control number ulipe mwenyew ulipo..
Elfu 5000/= utantumia Mimi ...
Kama cha mtu mzima kilipotea ila anataka namba ya cheti afanyaje?
 
Back
Top Bottom