Fanya hivi kupata Cheti cha Kuzaliwa kwa njia ya mtandao

πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ Sio wote watakao weza kaka utaendelea kula TU pesa πŸ˜€πŸ˜€ usijal
Mimi nilitumia huo mfumo kubadilisha cheti cha zamani kupata kipya. Nililipa tsh 6000 tu. Sijui kama sasa gharama ni hiyo hiyo au imepanda.
 
Huna haja ya kukipoteza wewe fanya kubadili kutoka old to new wala hawana shida maana wanachukulia labda kimeharibika ama kuingia maji nakadhalika

Mimi nilipata cha mwanangu ambacho nilibadili old to new ndani ya siku 3 pekee.
Watajuaje hizo taarifa unazoandika upya ni sawa na za kwenye cheti cha zamani?
 
Aki nimejaribu nimeshindwa! Mlioweza njooni mtoe ushuhuda.
 
Mkuu na Uzi wa jinsi ya kupata nida kuanzia usajiri wa awali Hadi kupata namba na kitambilisho.
 
Mkuu msaada. Nimeshindwa kuomba Cheti cha kuzaliwa cha mtoto wangu chini ya miaka mitano.
Mfumo unataka NI select identification. Je Kwa mtoto kama wangu ambaye ana Cheti cha hospitali Tu, nachagua nini?.
Nimechagua Birth Certiticate Number
mfumo unataka niweke PIN harafu ni verify. Je PIN naipata wapi?.
 
Sasa hivi wanajitahidi,cheti kinakuwa tayari ndani ya masaa 24 kama nyaraka hazina mashaka
Najuaje kupitia account yangu kuwa cheti changu kiko tayar?? Au ntapata notification gan
 
Mkuu achana na identification,we nenda kwenye ombi jipya..utaskip hyo identification.
 
Jamii Forums Kuna waungwana sana....nilikuwa nafikiri huku chini utatoa no zako za siku! Ahsante sana umesaidiq wengine!
 
Mkuu achana na identification,we nenda kwenye ombi jipya..utaskip hyo identification.
Naomba kuuliza Njia salama na uhakika ya kufanya malipo baada kupewa Control number.
Nimefanya malipo tarehe 27 Saa tano asubuhi kutoka account yangu ya bank kwenda kwenye control number lakini siku nzima imepita kila niki confirm payment kwenye mfumo naambiwa payment not received. Bank wao walinijibu Kwa wakati Kuwa malipo yangu yamekamilika kwenda Rita. Leo ni siku nyingine lakini bado naambiwa payment not received.
 
Unazingua wewe
 
Mi pia nilifanya kupitia bank ya NMB mkuu..ilienda tu vizuri
 
Kirahiisi hivyo!! Kwahiyo tuseme vishoka bai bai kwasasa???
 
Hujaweka mawasiliano yako boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…