PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Ngoja niongezeeIkitokea umebananishwa na umekutana na mojawapo wa wanyama hawa wakali Fanya haya kujiokoa
Huwa wanaua kwa ajili ya njaa. Kama wameshiba pita zako bila hofu. Vinginevyo panda mti kama upo karibu, kama hakuna mti basi shindaneni mbio.1 Simba
Huyu ni mnyama mkali sana
Ukikutana na Simba porini panda mti, au jiamini mtizame na uanze kumfukuza
Simba anaogopa ujasiri wa kiumbe yeyote atakimbia
huyo ndiye mkali sasa, huyo anapenda utulivu, ingawa na yeye mara nyingi hushambulial kwa ajili ya njaa, pia hushambulia kujilinda akuhisi hatari, hivyo kama unaishi maeneo yanayoweza kuwa na Chui, ni vizuri kila wakati unapotembea hakikisha umebeba mfuko wa salfeti/kiroba (sandarusi). Akikuvavamia unajikinga na kiroba zile kucha zake zikishachoma hicho kiroba, akiinua kiganja, kinatoka na nyusi, akitoa huko zinatoka anabaki anapigana na huo mfuko, wakati huo wewe watu wakikuanalia machoni wanaona mishale ya speed inasoma 120.2. Chui
Chui huishi mafichoni, chui hukaa peke yake
Ukikutana na chui, jifanye hujamwona.
Chui ni dhaifu, usimchokoze maana anaweza kukubadilikia
Upo sahihi, huyu jifunze tu kuwa na nidhamu. Ila kwanza angalia moody yake, ukiona ni mpole just mpisha ukiwa ume stand firm. Akiona amevurugwa na wewe vurugika.3. Tembo
Huyu ni mpole, ila ukikuta amevurugwa labda amepoteza ndama ujue safari yako imeishia hapo atakuua akukanyage uwe kama chapati
Ukikutana nae kamba Kuna mlima kimbia kama unateremka, au ingia shimoni au ndani kama Kuna nyumba
Usije ukapanda mti ukimwona tembo
Kama umestukia tu kuwa 'huyu hapa' na yupo peke yake basi kama kuna mti akikufuata wewe wewe fanya kuwa unauzunguka tu. Wakiwa wawili hadi watano ni hatari sana. Wakiwa wengi ni salama kwako.4.Nyati/ Faru
Ukikutana na wanyama hawa una asilimia 80 za kuwa marehemu,
Hawa Bora ukitane na Simba
Vyote omba ila usikutane na hawa viumbe porinii dadeki
Vunja kijiti kikavum ndiyo dawa yake, atakuachia tu, kama amekustukiza na kukuvaa mwilini hakikisha miguu umeitawanya5 Chatu
Kama unaenda porini na unahisi Kuna Chatu penda kutembea na mbwa, Atamkamata mbwa we ukimbie, maana na Chatu na mbwa wana uadui wao
Mijinga sana hii, inaweza ikainua miguu ya mbele na kukuiga unavyotembea huku mmeingozana.6 Fisi
Hawa huvizia usiku na huogopa mwanga, we tembea na tochi
Au akikuvuzia kamata mkia
nyoka wana sense uwepo wa kiumbe kwa kupima vishindo na joto. Sisi watu wa maporini huwa tunatembea na vijinga vya moto, akitaka ku sense joto la kiumbe kinachokuja anakutana na joto la moto. Sina uhakika, ila naomba mnitafutie mvuta sigara aliyeumwa na nyoka wakati akitembea huku anavuta sigara. Ingawa najua nyoka pia hutofautiana tabia. Tunapoongelea nyoka na tabia zao watu watambue kuwa hatumuongelei Koboko6. Nyoka
Hawa wapo wa aina tofauti na kila nyoka ana tabia zake
Kuna wanaovizia, wanaoshambuliwa, wanaosubiri uwakanyage n. K
Kikubwa ukipata ajali ya nyoka kunywa mkojo wako
Sure7 Mamba
Hawa hukaa ukingoni mwa moto au ziwa
Ukienda maeneo hayo ukakuta utulivu usio wa kawaida usijaribu kuingia majini
Kujiokoa mdomoni mwa mamba ni ngumu
Ila jaribu tu kumbinya tumbo
Yes,8 Mbwa mwitu
Hawa hutembea kundi kubwa unakuta wapo zaidi ya 50
Hawa ukiwaona panda mti
All in all, jiokoe uwezavyo, kimbia