holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
kitalembwa mana yake hudanganyiki,au kikubwa mbwa?Mkojo hutibu sumu ya nyoka ? Never heard before
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kitalembwa mana yake hudanganyiki,au kikubwa mbwa?Mkojo hutibu sumu ya nyoka ? Never heard before
Utaoga mvua ya mate ya chatu na atakaa hapo mpaka ufe uoze ndo akumeze vizurikwa upande wa chatu akikuvamia lala chini kifudi fudi atashindwa kukuzunguruka na kukumeza, atateseka baada ya dakika kadhaa ataamua kuondoka
Hii sikuwahi kuisikiaKikubwa ukipata ajali ya nyoka kunywa mkojo wako
Chatu hana sumu.Utaoga mvua ya mate ya chatu na atakaa hapo mpaka ufe uoze ndo akumeze vizuri
😂Simba yupi labda diamond ndio umkimbize..
Ukimbilie kwa Sokwe mtu wa hifathi ya gombe ambae kwasasa anapatikana mitaa ya lumumbaJe ukikutana na Lisu na Chadema yake unatakiwa ufanye nini??
Ukikutana na mwizi usiku amekuvamia anataka kukuibia, wewe muibie shingo.Ikitokea umebananishwa na umekutana na mojawapo wa wanyama hawa wakali Fanya haya kujiokoa
1 Simba
Huyu ni mnyama mkali sana
Ukikutana na Simba porini panda mti, au jiamini mtizame na uanze kumfukuza
Simba anaogopa ujasiri wa kiumbe yeyote atakimbia
2. Chui
Chui huishi mafichoni, chui hukaa peke yake
Ukikutana na chui, jifanye hujamwona.
Chui ni dhaifu, usimchokoze maana anaweza kukubadilikia
3. Tembo
Huyu ni mpole, ila ukikuta amevurugwa labda amepoteza ndama ujue safari yako imeishia hapo atakuua akukanyage uwe kama chapati
Ukikutana nae kamba Kuna mlima kimbia kama unateremka, au ingia shimoni au ndani kama Kuna nyumba
Usije ukapanda mti ukimwona tembo
4.Nyati/ Faru
Ukikutana na wanyama hawa una asilimia 80 za kuwa marehemu,
Hawa Bora ukitane na Simba
Vyote omba ila usikutane na hawa viumbe porinii dadeki
5 Chatu
Kama unaenda porini na unahisi Kuna Chatu penda kutembea na mbwa, Atamkamata mbwa we ukimbie, maana na Chatu na mbwa wana uadui wao
6 Fisi
Hawa huvizia usiku na huogopa mwanga, we tembea na tochi
Au akikuvuzia kamata mkia
6. Nyoka
Hawa wapo wa aina tofauti na kila nyoka ana tabia zake
Kuna wanaovizia, wanaoshambuliwa, wanaosubiri uwakanyage n. K
Kikubwa ukipata ajali ya nyoka kunywa mkojo wako
7 Mamba
Hawa hukaa ukingoni mwa moto au ziwa
Ukienda maeneo hayo ukakuta utulivu usio wa kawaida usijaribu kuingia majini
Kujiokoa mdomoni mwa mamba ni ngumu
Ila jaribu tu kumbinya tumbo
8 Mbwa mwitu
Hawa hutembea kundi kubwa unakuta wapo zaidi ya 50
Hawa ukiwaona panda mti
Utadakwa mkono ulioshika panga au shingo.Nikishika panga, aje yeyote nachinja.
😂😂😂😂Muulize Mzee Wasira
Keshatuambia kwamba ukipata ajali ya nyoka kunywa mkojo wako. Hivyo basi wakati unaanza kuzimia na kujikojolea kumbuka kuuweka mdomo wako sawa ili uweze kuunywa huo mkojo wako!Nilivyomuoga wa nyoka! Badala nikimbie nitazimia huku najikojolea
Chui mkuu😂Chupi😅😀😅
Hiyo nitatazama tu