Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Katika vyote hatari ni nyoka peke yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanyama wote wakorofi wakiwa na njaa,kasoro Tembo,.Ikitokea umebananishwa na umekutana na mojawapo wa wanyama hawa wakali Fanya haya kujiokoa
1 Simba
Huyu ni mnyama mkali sana
Ukikutana na Simba porini panda mti, au jiamini mtizame na uanze kumfukuza
Simba anaogopa ujasiri wa kiumbe yeyote atakimbia
2. Chui
Chui huishi mafichoni, chui hukaa peke yake
Ukikutana na chui, jifanye hujamwona.
Chui ni dhaifu, usimchokoze maana anaweza kukubadilikia
3. Tembo
Huyu ni mpole, ila ukikuta amevurugwa labda amepoteza ndama ujue safari yako imeishia hapo atakuua akukanyage uwe kama chapati
Ukikutana nae kamba Kuna mlima kimbia kama unateremka, au ingia shimoni au ndani kama Kuna nyumba
Usije ukapanda mti ukimwona tembo
4.Nyati/ Faru
Ukikutana na wanyama hawa una asilimia 80 za kuwa marehemu,
Hawa Bora ukitane na Simba
Vyote omba ila usikutane na hawa viumbe porinii dadeki
5 Chatu
Kama unaenda porini na unahisi Kuna Chatu penda kutembea na mbwa, Atamkamata mbwa we ukimbie, maana na Chatu na mbwa wana uadui wao
6 Fisi
Hawa huvizia usiku na huogopa mwanga, we tembea na tochi
Au akikuvuzia kamata mkia
6. Nyoka
Hawa wapo wa aina tofauti na kila nyoka ana tabia zake
Kuna wanaovizia, wanaoshambuliwa, wanaosubiri uwakanyage n. K
Kikubwa ukipata ajali ya nyoka kunywa mkojo wako
7 Mamba
Hawa hukaa ukingoni mwa moto au ziwa
Ukienda maeneo hayo ukakuta utulivu usio wa kawaida usijaribu kuingia majini
Kujiokoa mdomoni mwa mamba ni ngumu
Ila jaribu tu kumbinya tumbo
8 Mbwa mwitu
Hawa hutembea kundi kubwa unakuta wapo zaidi ya 50
Hawa ukiwaona panda mti
Wanyama ambao sijawahi kukutana nao ni mbwa mwitu,mamba na chui.Ikitokea umebananishwa na umekutana na mojawapo wa wanyama hawa wakali Fanya haya kujiokoa
1 Simba
Huyu ni mnyama mkali sana
Ukikutana na Simba porini panda mti, au jiamini mtizame na uanze kumfukuza
Simba anaogopa ujasiri wa kiumbe yeyote atakimbia
2. Chui
Chui huishi mafichoni, chui hukaa peke yake
Ukikutana na chui, jifanye hujamwona.
Chui ni dhaifu, usimchokoze maana anaweza kukubadilikia
3. Tembo
Huyu ni mpole, ila ukikuta amevurugwa labda amepoteza ndama ujue safari yako imeishia hapo atakuua akukanyage uwe kama chapati
Ukikutana nae kamba Kuna mlima kimbia kama unateremka, au ingia shimoni au ndani kama Kuna nyumba
Usije ukapanda mti ukimwona tembo
4.Nyati/ Faru
Ukikutana na wanyama hawa una asilimia 80 za kuwa marehemu,
Hawa Bora ukitane na Simba
Vyote omba ila usikutane na hawa viumbe porinii dadeki
5 Chatu
Kama unaenda porini na unahisi Kuna Chatu penda kutembea na mbwa, Atamkamata mbwa we ukimbie, maana na Chatu na mbwa wana uadui wao
6 Fisi
Hawa huvizia usiku na huogopa mwanga, we tembea na tochi
Au akikuvuzia kamata mkia
6. Nyoka
Hawa wapo wa aina tofauti na kila nyoka ana tabia zake
Kuna wanaovizia, wanaoshambuliwa, wanaosubiri uwakanyage n. K
Kikubwa ukipata ajali ya nyoka kunywa mkojo wako
7 Mamba
Hawa hukaa ukingoni mwa moto au ziwa
Ukienda maeneo hayo ukakuta utulivu usio wa kawaida usijaribu kuingia majini
Kujiokoa mdomoni mwa mamba ni ngumu
Ila jaribu tu kumbinya tumbo
8 Mbwa mwitu
Hawa hutembea kundi kubwa unakuta wapo zaidi ya 50
Hawa ukiwaona panda mti
Mpaka nacoment hapa maana yake niliiepuka hasira ya simba.Ulisha jaribu na ikafanya kazi au unataka kutuponza
Kwa dog shika mapumbu haku nzuluVipi kuhusu dog, kuna mtaa nilipita, wakabweka nikaamua niame njia.
Yap, wapo hifadhi ya TarangileKuna Simba wanapanda baadhi ya miti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vichwa viwili na jicho lenye nywere na shingo hamna daaaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]*****Hawezi, simba ni mwoga sn kwa viumbe ambavyo ni vigeni kwake, na advantage ya simba ni kuona shingo ilipo ndiomana si ajabu simba ku batle na twiga ambaye ni mrefu kwakuwa tu ameiona shingo, sasa aone mnnyama mwenye vichwa viwili na jicho moja lenye nywele pasipo kuiona shingo simba atakaa mbali atahisi hatari imemfikia.
Huyo mbwa mlimtibu?Nakumbuka mwaka juzi tulikutana na chui mwenye watoto ilikuwa usiku wa saa sita porini kilichotusaidia tulikuwa na mbwa kiherehere cha mbwa kwenda kuvamia watoto wa chui kumbe mama kajificha alichofanywa yule mbwa ilikuwa pona yetu. Yule mbwa alikuwa mtemi ila alibahatika kutoka kwenye mikono ya chui alirudi na donda lilomuachia kovu mpak kesho na alishinda ndan analia kutwa km mtoto.