Fanya hivi ukikutana na wanyama hawa porini

Fanya hivi ukikutana na wanyama hawa porini

Ok, Lets say upo sawa, mfano ndo umekutana nae paap,Sasa wakati unavua hizo nguo aone makalio shingo unakuwa umeiweka wapi asiione,?
Kama nilivyosem simba havamii kwanza huwa anapiga hesabu kukukabili kwahiyo huo muda chap kwa haraka vua viwalo then fanya kama nilivoelekeza hapo juu kwanza atastaajabu kuona kiumbe kimegeuka ghafla, atatoka mbio, hii njia iliwahi kuniokoa mara mbili ila uwe jasiri
 
Ukikutana na simba vua nguo zote halafu mbong'olee yaani geuka nyuma inama kisha aone matako yako, simba ataogopa kwa maana hayo matako atahisi kama ni vichwa viwili hivyo atasitaajabu na kukimbia kwakuwa hajawahi kuona.mnyama mwenye vichwa viwili.
huo muda wa kuvua nguo zote unautoa wapi?
 
Ukikutana na simba vua nguo zote halafu mbong'olee yaani geuka nyuma inama kisha aone matako yako, simba ataogopa kwa maana hayo matako atahisi kama ni vichwa viwili hivyo atasitaajabu na kukimbia kwakuwa hajawahi kuona.mnyama mwenye vichwa viwili.
Mtoto wa kiume kwanini uweke makalio yako rehani
 
Kama nilivyosem simba havamii kwanza huwa anapiga hesabu kukukabili kwahiyo huo muda chap kwa haraka vua viwalo then fanya kama nilivoelekeza hapo juu kwanza atastaajabu kuona kiumbe kimegeuka ghafla, atatoka mbio, hii njia iliwahi kuniokoa mara mbili ila uwe jasiri
Mkuu, Simba anayekutana na wewe ghafla ukimbia, akikuvamia huyo alishakusomea ramani na makalio alishayaona.
 
Ni kweli kuna maelekezo mengi yameshatolewa juu ya Mtu ufanye nini unapokutana na Mnyama fulani ila bado kuna changamoto ya kupata matokeo chanya (positive) wakati wote. Kwa mfano hapo kwenye Simba haipishani sana na maelekezo utakayopewa kuhusu nini ufanye unapokutana na Mbwa mkali.Ila my friend sio wakati wote utafanikiwa maana itategemea naye amekutana na nini muda mchache kabla hamjakutana.Hawa jamii ya Paka hawatabiriki kirahisi,ni kweli Wana uwezekano mkubwa wa kupuuzia ili mradi tu nawe usihangaike naye.Na zipo shuhuda hizo,ila nasisitiza haitotokea mara zote. Kuhusu Chui nadhani neno sahihi ni "shy" Wana aibu ila sio dhaifu.Kwa kupenda kwao utulivu anaweza akakuacha tu upite zako ali mradi nawe usiwe na habari naye.Ila kama kwa Simba inaweza Isiwe hivyo mara zote. Hapo kwa Nyoka hawa nao ni viumbe wanaotajwa kama wenye aibu "shy" na mara nyingi huchagua kukimbia kama atafanikiwa yeye kukuona mapema, ila ndio hivyo wakati mwingine bila ya kujua unaweza kujikuta umemuweka yeye hatarini bila kukusudia naye atakugonga tu.Ila hapo kwenye ushauri wa nini Mtu afanye akigongwa naona umepotosha.Tahadhari ni kukwepa kupita kwenye majani marefu au basi uwe umevaa buti na suruali n.k.
 
Mi nilikutana na simba nikaanza kucheza amadou amadou amadou amadou 🎶 simba akaona hili juha ngoja niliache tu litapambana na wanyama wengine
 
Back
Top Bottom