King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
"Kikundi chetu kinaitwa Upendo Acrobatic group au Ukipenda MANJEGEKA Msingi Maneno" - Kashata 1996 Mnazi Mmoja Ground Dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙏🙏🙏Ni Kweli kabisa Asante Kwa ujumbe
✓👏👏👏Maneno hayo yote yanaweza kuwekwa kwenye sentensi moja, jiratibu
Wala siko hivyo mkuu.Mleta mada nahisi Kama. Una uhusiano na motivation speaker... Nimewaza tu kwa sauti mkuu.
Ufafanuzi kidogo mkuu. Wengine tu "wageni""Kikundi chetu kinaitwa Upendo Acrobatic group au Ukipenda MANJEGEKA Msingi Maneno" - Kashata 1996 Mnazi Mmoja Ground Dar
Lakini msisahau kutupa mrejesho.
Uvumbuzi haujafikia ukomo, ingali unaendelea. FANYA kisirisiri kama mada ilivyoelekeza uone kama itamake any difference. Huna cha kupoteza mkuu.Motivational Speakee. Mkikutwa huwa mnajiua nyie. Ila hapa uta copy na kupaste maneno ya watu ku motivate wenzio. Pambana hatuhitaji motivational speaker. Tunahitaji Motivationa Doer.
Nahisi wewe ni "daktari" hata kama si "yule" daktari.[emoji419][emoji736]
Ila si wote mkuuTatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
???????Motivational Speakee. Mkikutwa huwa mnajiua nyie. Ila hapa uta copy na kupaste maneno ya watu ku motivate wenzio. Pambana hatuhitaji motivational speaker. Tunahitaji Motivationa Doer.
Sishangai kwa sababu hata somo la Kiswahili sikuwa nikilipenda nilipokuwa Sekondari. Ingawa sikuwahi kupata sifuri, sikuwa nikilifaulu sana.We jamaaa nimesoma THREADS zako haujui tofauti ya KUDHAMINI na KUTHAMINI.
Umejibu kiakili..Sishangai kwa sababu hata somo la Kiswahili sikuwa nikilipenda nilipokuwa Sekondari. Ingawa sikuwahi kupata sifuri, sikuwa nikilifaulu sana.
Ninashangaa umekiona hilo kosa moja tu. Nina uhakika ukichunguza kwa umakini, utabaini makosa lukuki!