Fanya Kila Siku, Na Baada Ya Siku Thelathini, Utathmini Ilivyokuathiri

Fanya Kila Siku, Na Baada Ya Siku Thelathini, Utathmini Ilivyokuathiri

"Kikundi chetu kinaitwa Upendo Acrobatic group au Ukipenda MANJEGEKA Msingi Maneno" - Kashata 1996 Mnazi Mmoja Ground Dar
 
Motivational Speakee. Mkikutwa huwa mnajiua nyie. Ila hapa uta copy na kupaste maneno ya watu ku motivate wenzio. Pambana hatuhitaji motivational speaker. Tunahitaji Motivationa Doer.
Uvumbuzi haujafikia ukomo, ingali unaendelea. FANYA kisirisiri kama mada ilivyoelekeza uone kama itamake any difference. Huna cha kupoteza mkuu.

Ukijaribu na isifanye kazi kwako hutakuwa na hasara, ikikuletea matokeo mazuri itakuwa faida kwako na kwa watu wako pia.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Motivational Speakee. Mkikutwa huwa mnajiua nyie. Ila hapa uta copy na kupaste maneno ya watu ku motivate wenzio. Pambana hatuhitaji motivational speaker. Tunahitaji Motivationa Doer.
???????
 
We jamaaa nimesoma THREADS zako haujui tofauti ya KUDHAMINI na KUTHAMINI.
Sishangai kwa sababu hata somo la Kiswahili sikuwa nikilipenda nilipokuwa Sekondari. Ingawa sikuwahi kupata sifuri, sikuwa nikilifaulu sana.

Ninashangaa umeliona hilo kosa moja tu. Nina uhakika ukichunguza kwa umakini, utabaini makosa lukuki!
 
Sishangai kwa sababu hata somo la Kiswahili sikuwa nikilipenda nilipokuwa Sekondari. Ingawa sikuwahi kupata sifuri, sikuwa nikilifaulu sana.

Ninashangaa umekiona hilo kosa moja tu. Nina uhakika ukichunguza kwa umakini, utabaini makosa lukuki!
Umejibu kiakili..
 
Back
Top Bottom