Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Mzabzab hujawahi chukia humu, nimekuuliza makusudi ila unashangaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we' jamaa umeshashindilkana... Unachamba ila unacheka tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu ukija Dar tuonane, seriously....
Sasa ukasirike nini wakati ukweli unaujua mwenyewe....alafu hapa jf sii tumekuja relax kupoteza muda so why nijipe stress. Mjini nikija nitakutonya twende tukacheki warembo pale masaki samaki samaki.
 
Sasa ukasirike nini wakati ukweli unaujua mwenyewe....alafu hapa jf sii tumekuja relax kupoteza muda so why nijipe stress. Mjini nikija nitakutonya twende tukacheki warembo pale masaki samaki samaki.
Big up mkuu, nimejaribu kukuchukiza ila nime fail[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usisahau kaka
 
mnhhh kwa hio unajinadi unauza yako
Hayo unasema wewe mie nachojua ni kwamba napenda kugegeda mbususu ila wanawake wa jf nikiwaomba mbususu naambulia mizinga ya laki moja nitaweza wapi mie wacha nile kwa urefu wa kamba yangu
 
Hayo unasema wewe mie nachojua ni kwamba napenda kugegeda mbususu ila wanawake wa jf nikiwaomba mbususu naambulia mizinga ya laki moja nitaweza wapi mie wacha nile kwa urefu wa kamba yangu
Unageda, unagegedwa?!,jike zima linaona wivu wenzake wakigegendwa!, uchi si unao? gawa wako? mxieww
 
Unageda, unagegedwa?!,jike zima linaona wivu wenzake wakigegendwa!, uchi si unao? gawa wako? mxieww
Mie wangu wivu utoke wapi wakati warembo wanashare mgeggedo wangu kwa raha zao...tena wengine tunapiga double double...nakukaribisha siku wewe na mmeo mjiunge kwenye swingers club yetu
 
Mie wangu wivu utoke wapi wakati warembo wanashare mgeggedo wangu kwa raha zao...tena wengine tunapiga double double...nakukaribisha siku wewe na mmeo mjiunge kwenye swingers club yetu
Unajinadi unapigwa dabo dabo? sio sifa!
 
Ata wewe unavijua ndio maana wanichokoza chokoza ila najua ipo siku tutapeana utamu kwa raha zetu
[emoji2440][emoji2440][emoji2440][emoji2440][emoji2440][emoji2440][emoji2440][emoji2440][emoji2440][emoji2440]
 
Kweli dunia hii tunaishi ila kuna maisha tofauti na wengine kabisa

Hayo maisha ni ya kimasikini sana na ni tabia ya baadhi ya watu kwa adaptation

Ni mazingira ya watu unaoishi nao ndio mmekuwa hivyo
Kwa kweli society niliyokulia wanawake ni tofauti kabisa ni wa kufanya kazi na kujishughulisha sana pia hawana tamaa za kuomba omba

Sasa wewe umewasema wanawake kama Paka vile ambao watakuzungukia kwenye miguu na kila unapowapa chakula wanakuja tu na hata ukiwa unakula mali yako bado watakuangalia tu kwa jicho la kuomba omba

Sasa hayo ni maisha yaliyofanywa na wengi siku hizi especially nchi masikini ambazo wanawake hawataki kujituma na kuwa na cha kwao

Hao unaosema utawasaidia kama dada zako au mama zako huenda nao wanasumbua wanaume wengine kwa kuwaomba

Nyie ndio mnaowafanya wawe hivyo kwani cha kwanza unamtumia nauli aje Halafu unataka akutegemee kila kitu

Mmmetengeneza wenyewe njia za kutembea nao kwa kuwatumia hela ya boda na vocha
Maisha ya kumasikini hayo kwa masikini
Vijana hawataki kuoa wanataka michepuko na michepuko itaendelea kuomba kwani ndio maisha mliyoyataka

Maisha ni jinsi watu wanavyoyafanya wapo wengine ambapo ni aibu mwanamke kukuuliza hata senti bali atajilipia kila kitu na anakuletea na zawadi pia (sio bongo)
 
Mtoa mada unanitisha. Huku kuna mwanamke amejitoa kunisaidia kwa mambo kadha wa kadha. Huyu nimuweke kundi gani?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…