Oyakhilome
Member
- Aug 21, 2020
- 11
- 8
Amina mtumishiWomen possess negative power. Wana uhusiano wa karibu sana na shetani. Mara nyingi ili shetani akupate wewe mwanamume hupitia kwa mwanamke. Jambo hili lilianzia pale kwenye bustani ya Edeni na litaendelea hadi pale shetani atakapotupwa kwenye ziwa liwakalo moto na kiberiti. So watch out! May you come to Jesus for your salvation and eternal life kabla ya mlango wa neema kufungwa!
YESU KRISTO ni BWANA na MWOKOZI