yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,897
- 3,336
Upo sahihi mkuu hata hapa kazini kwangu. Wapo wawili wanasuguliwa na workmate ilihali wameolewaEmpty kabisa. Mwanangu hatokwenda shule ili apate kazi. Nyie ndio nendeni shule kwa lengo la kupata kazi. Ndio maana nkimaliza shule hamjapata kazi basi mpo tayari kwa lolote hata muuza miili yenu mpate kazi. Mkuu, ninachoongea kuhusu wanawake wanaojiona wasomi nakijua. Of course sio wote but 99% ni majanga matupu. Hamna faida yoyote, wabinafsi, wachoyo, hamtimizi majukumu yenu ya nyumbani, washindani, wajeuri na wanaliwa na staff wenzao huko. I know what I am saying
Mwingine mume wake Yuko mkoa wa mbali huko kutwa anapiga simu saaingine inawekwa loudspeaker na huyo mwanamke mnamsikia jamaa anavoweka ulinzi wa kwenye simu,
Mwanamke akikata simu tu anafyonza, kiukweli Mimi Huwa nakasirika vibaya mno namuone huruma huyo jamaa anapambana na maisha mbali huko mkewake anapigwa pumbu tu na mfanyakazi mwenzie. Baadhi ya wanawake siyo watu ni mashetani 99%