Mnakutana na wasomi ambao hawajielewi. Mwanamke anayejielewa hawezi kutamani hela ya mwanaume. Uwe umesoma au hujasoma hama hujielewi ni bure kabisa. Sasa unafanya kazi na una mshahara mzuri halafu unampiga vizinga mpenzi wako, si bora uache kazi ijulikane moja. Huo ni ujinga. Ndio maana familia nyingi haziendelei sababu wanaume wanahangaika wenyewe kulisha familia ili hali mke anafanya kazi. Eti nina hela niache kulipa ada ya mtoto wangu niliyezaa nimsubirie mwanaume sababu ni jukumu lake loh. Mimi nafurahi kabisa kuona nafanya mchango kukuza familia yangu.