Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Naona wanaume yakle maazimio ya kikao cha wanaume yanafanyiwa kazi sasa.

Ila lile la tusiwaoe naona ndio limeshika hatamu. Oeni jamani watu watazeeka bure'
 
Naona wanaume yakle maazimio ya kikao cha wanaume yanafanyiwa kazi sasa.

Ila lile la tusiwaoe naona ndio limeshika hatamu. Oeni jamani watu watazeeka bure'
Hapana tutaoa wenye unafuu lakini hatutawaamini kwa asilimia 100, yaani ni kuwaamini kwa asilimia 10 tu nyingine tunabaki nazo wenyewe
 
Ona hiyo
Screenshot_20220607-123549.jpg
 
Wao tu ndio huwa na bahati mbaya. Mshahara haujaingia kwa wakati, njaa inamuuma muda wowote ukimuuliza kama amekula, anaumwa muda wowote ukimuuliza ameshindaje, anapenda outings ambazo zinakucost wewe, hauwez kuwasiliana nae mpaka umnunulie bando.
Kama anasoma basi amekwama Ada. Kama amepanga hata miaka mitatu, akikutana na wewe kodi inaanza kumshinda kulipa.
Mbaya sana unakuta wote labda tuseme ni walimu, na maanisha wewe na yeye. Mshahara mnapata unaofanana. Lakini katika expenditures yeye anakua hana kabisa jaya nauli ya kukutania kwenye venue [emoji16]. Yaani Mia 4 hana. Saivi nauli imepanda sijui itakuaje.
Lakini yote ya yote, hawa watu hawana shukrani na yupo tayari kuku dump muda wowote kama atapata mwingine wa kumghalamia mahitaji yao.
Kibaya zaidi, unaweza kumnunulia gari lakini akaja kugongwa na mtu alimsaidia 5,000 ya mafuta [emoji24][emoji24]
Umemaliza yooote[emoji28][emoji120]
 
Kuna manzi mmoja nlimtania tu alifika ofisini kwangu nikachukua namba yake ya simu...aisee hata sijamtongoza tayari kashaanza kuniita baby, sijakaa vizuri vibomu ,vinaanza ...mara ooh baby ninashida ya pesa naomba nitumie.Nikamchekecha tu kuwa askilizie kuna ishu ikikaa poa ntamtumia....dah zilianza txt kama ugomvi ....umenidanganya hujanitumia, vp unantumia saa ngapi...n.k nkamrushia pesa ...kesho yake kuamka tu anashida tena ya pesa, mara sijui ana njaa hajanywa chai, mara sijui ana shida hii na ile .....ukicheki ni mke wa mtu. Nmempotezea mazima akipiga simu yake naiangalia tu siipokei.


Some women are disgusting parasites, hawana faida yoyote zaidi ya kukunyonya tu.

Kuna mwingine nilikuwa na namba yake muda mrefu tu, siku nikamtxt tu...kwenye kuchat ..akaanza nina shida ya kiasi kadhaa niazime ntakurudishia ..daaah nikampa kumpima tu ila nlijua kuwa hapa hakuna mpango wa kurudishiwa, mara ametengeneza mazingira niwe mpenzi wake , sijakaa vizuri vibomu vinaanza mara sijui nina shida ya pesa hivi, mara sijui hapa nadaiwa kwenye biashara ,mara mtoto wangu anaumwa sina pesa ya hospitali n.k .Nikaancha kumpa attention, na yeye akapunguza mawasiliano na mimi, nikimtxt hajibu sms zangu kama mwanzo ,unaweza ukamtxt watsapp ukaona blue ticks halafu asijibu, nikakata mawasiliano , ila cha ajabu hanitafuti mpk awe na shida ya kitu kutoka kwangu .Nishamjulia nami namfungia tinted tu.

Duniani kuna wanawake wawili tu ndio wamekuwa wema kwangu, wa kwanza ni Mama yangu kipenzi (Mungu amjaalie afya na umri wenye baraka tele) na wa pili ni mke wangu kipenzi. Hawa ndio wanawake bora kwangu.

Mke wangu alinipenda in a mysterious unconditional way na kama nikifanikiwa huko mbeleni naweza kuandika kitabu juu yake. Nathubutu kusema kuwa sijapata na sidhani kama ntakuja kupata tena mwanamke kama yeye mpk naondoka katika mgongo huu wa ardhi.
Wake zetu na mama zetu Wana nafasi njema mbinguni
 
@moderators futa huu uzi ni uchonganishi mkubwa
I agree Mkuu,wamekuja ku destroy peace humu, kuwe na topics za wanawake peke yake, na topics za wanaume peke yake...@Moderator futa huu upuuzi...
 
Back
Top Bottom